Msaada matumizi ya whatsap

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,454
2,975
Mimi si mpenzi wa story zisizoisha kwenye makundi ya Whatsap, sasa hata hivyo kuna baadhi ya magroup ukijitoa unaonekana mkorofi.

Nilikuwa naomba utaalamu wa kuweza kuwa na magroup lkn niwe nimeyaficha msg zikiingia zisionekane mpaka nikiiamua.

Msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_20170903_205814_098.jpg
IMG_20170903_205857_521.jpg
IMG_20170903_205931_025.jpg

Una sh. Ngapi???

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu Pole kwa Usumbufu

Fungua Group la WhatsApp linalosumbua then nenda Upande wa Kulia kama Inavyoonekana hapa Kwenye Rangi Nyekundu touch hapo
IMG_20170903_205814_098.jpg

Baada ya Hapo Itaonekana Hivi then Chagua Mda wa Ku Mute hiyo ya 1year ni nzuri. Chagua 1year then OK.
IMG_20170903_205857_521.jpg

Chagua Mda wa Ku Mute then OK hapo Chats hazitakusumbua.
IMG_20170903_205931_025.jpg
 
Back
Top Bottom