Teknolojia: Touch screen inatumia umeme wa binadamu

Teknolojia: Touch screen inatumia umeme wa binadamu

Zeni2017

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Posts
1,247
Reaction score
534
TOUCH SCREEN INAUNGANISHA UMEME WA BINADAMU NA WA COMPUTER.

Ndio, moja ya teknolojia ya touch screen inatumia umeme uliomo ndani ya mwili wa binadamu kugusana na umeme uliomo ndani ya chombo kinachotumia touch screen. Mgusanano huo unapotokea, mzunguko wa umeme hukamilika na kisimu kinaingia Whatspp kuandika umbea.

Na si lazima utumie kidole. Kiungo chochote cha mwili mradi ngozi iguse touch screen itafanya kazi.

Kama unabisha vaa gloves au tumia jiwe au kijiti kwenye simu yako uone kama itaandika chochote.

Sasa kazi kwako kama hivi visimu vinavyotumia umeme wa binadamu havina madhara amabayo hatuambiwi.
53c6e46e7761387199cc4af1560fab11.jpg
 
Kama sikosei hizi simu zilianza rasmi 1995 huko mbele.
Tuangalie hao waliotumia kwa miaka kama 20 wamekumbwa na nini.
 
Wengine wanasema inatumia damu!,..kufa kupo ila kifo cha saratani kibaya sana
 
Daaaa nimejaribu ni kweli aisee.
Ndio maana nguvu za kiume ni janga la dunia
 
Daaaa nimejaribu ni kweli aisee.
Ndio maana nguvu za kiume ni janga la dunia
 
Siku zote katika maisha afanyacho mwanadamu kuna faida na hasara, so don't real care all these shits, love yourself and do what you like god damn....
 
sasa mkuu na sim zenye pen ya kuandikia nazo zinatumia umeme gani mkuu
 
Back
Top Bottom