Habar za majukum wakuu? Bila kupoteza muda naomba kuuliza tangu kukatazwa kurushwa drones na TCAA bila kua na idhini ya wizara ya usalama na kibari toka TCAA, je kuna mtu amefata taratibu na...
Hello Gentleman and ladies,
Naomba msaada wenu jamani, nataka niwe naficha Apps kama vile ya Badoo au truecaller ili mtu asione nitafanyaje wakuu wangu.
Msaada please.
Sent using Jamii Forums...
Hello ndugu zangu,laptop yangu inatatizo la kujizima hasa inapochemka baada ya kuwa imefanya kazi sana.Sasa hivi naona tatizo linazidi haiwezi kukaa hata lisaa limoja bila kujizima tofauti na...
Msaada naomba mwenye hizi plugin za fl studio
Hypesonic
Nexus
Ochestral
anitumie email: frankmwandy@gmail.com au wapi kwa kuzipata
Sent using Jamii Forums mobile app
SAP HANA Cloud Integration is also known as sap HCI. SAP offers Lowers cost, increases speed, and enhances simplicity for our customers.
SAP HANA Cloud Integration includes:
•Core runtime for...
Nataka kununua simu naomba ushauri ni aina gani ya samsung yenyekutoa picha HD yenye quality nichukue wakuu balance yangu ni 250,000
naombeni ushaur na msaada wenu
UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UDHAIFU
Kwa miaka mingi sasa tumekuwa tukiumia sana na hili swala la kutokuweza kupokea malipo kupitia paypal, binanfsi ni member wa paypal toka mwaka 2007, hadi leo ni...
Wanasayansi wamebuni kamera yenye uwezo ya kupiga picha viungo vya ndani ya mwili wa binadamu.
Kifaa hicho kimeundwa kuwasaidia madaktari kusaka vifaa vya madaktari, vinavyofahamika kama...
Habari wanajamvi!!! Nawezaje kupata wwbsite au blog ambayo itawezesha kudownload video na audio,pia kuwezesha malipo kwa kila anayedownload? Msaada tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu simu yangu ya Huawei Y-530 niliifanyia rooting ila sasa imeanza kujizima yenyewe na nikiwasha haimalizi inaishia kwenye Logo ya Huawei.
Nimesha flash mara nyingi sana lakini tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.