Sahihi siyo mpaka uchoronge mkuu. Ukiandika
M. Mwendokasi
inatosha kbs
Wakuu habari.
Naomba nielekezwe jinsi ya kuweka signature yangu kwa kutumia computer.
Mfano nataka nikiandika barua ya kazi na kuapply online sehemu ya kusaini kwa mkono nisaini moja kwa moja kwenye computer bila kuprint barua halafu ndo niscan