msaada wa Sumsang DVD player blueray BD-J5500 3D curved

msaada wa Sumsang DVD player blueray BD-J5500 3D curved

Hechinodemata

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
1,487
Reaction score
3,371
Wakuu naimani week end ipo vizuri
Ndugu yangu katoka Kenya kaniletea zawadi ya dvd player blueray, hii Dvd ina cable ya DHMI, Tv yangu ina support DHMI, Kila nikiunganisha DHMI Cable angalau nianze kutumia kama dvd player za kawaida nashindwa, tatizo nini au mpaka niwe na intanet? mana hii dvd ina port ya local internate haina Wifi, Wajuz naombeni msaada nakosea nini, Mana Nimeipokea kwa mbwembwe lakini imenishinda
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Wakuu naimani week end ipo vizuri
Ndugu yangu katoka Kenya kaniletea zawadi ya dvd player blueray, hii Dvd ina cable ya DHMI, Tv yangu ina support DHMI, Kila nikiunganisha DHMI Cable angalau nianze kutumia kama dvd player za kawaida nashindwa, tatizo nini au mpaka niwe na intanet? mana hii dvd ina port ya local internate haina Wifi, Wajuz naombeni msaada nakosea nini
Hiyo HDMI cable yako ukiunganisha nini kinatokea kwa screen? Na je una zelect vizur kwa rimoti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo HDMI cable yako ukiunganisha nini kinatokea kwa screen? Na je una zelect vizur kwa rimoti?

Sent using Jamii Forums mobile app
nikiunganidha HDMI nikitumia remote ya TV kuselect upande wa HDMI inakubali then bac haifanyi lolote, inaishia hapo hapo, siwez hata kuitumia kama dvd ya kawaida
 
Back
Top Bottom