Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Router nzuri ni mtandao gani yenye uwezo wa wifi na kwa computer ambazo hazina wifi
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Sote tunajua taabu inayopatikana ya ubebaji Begi au mabegi pale tunaposafiri kuelekea katika kituo aidha cha Mabasi, Treni au Ndege. Adha hiyo sasa inakaribia kuondoka kabisa baada ya kufanyika...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kampuni ya Apple imejichimbia ikiandaa simu mpya ya iPhone itakayokuwa ya kimapinduzi zaidi, lakini wanahofia kuwa Kampuni hasimu ya Samsung itaiba ubunifu huo. Kwa wafuatiliaji wa mabadiliko ya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu hii Simu Inauzwa Sh. 3,000,000/= Vipi billing au Vocha Zake Kwa Tanzania Zinatolewa na Kampuni Gani nimevutiwa Nazo Siku za Mbeleni Nikipata pesa Nitanunua.
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Leo katika mda wangu wa mapumziko, nime-design kitu kidogo cha kuchangamsha uoni wako. Niambie katika hizo rangi mbalimbali za logo, ipi inakuvutia zaidi. How did i do it?, Nakaribisha...
9 Reactions
84 Replies
12K Views
Waungwana kama kichwa cha habari kinavyosema. Kuna ubishi huku leo tumebishana sana kuhusu uwezekano wa kubadili processor. Je hili swala linawezekana kwa laptops? Nawasilisha
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wadau WA jf, kuna kitu kwenye simu kinaandika screen overlay protected, kinazuia apps nyingi kufunguka, nifanyeje nimeshindwa kukiondoa Kwa maelekezo yanayoonyesha Nisaidieni
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Habari. Wakuu kama kuna mdau amewahi kuflash hizi simu tubadilishane uzoefu. Yangu ina tatizo la bootloop, kwenye Recovery mode inaingia ila ukichagua chochote kile inajireboot. Nawasilisha.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu wanachama nimei-developed hii application mpya ya Jamiiforums inayofanya kazi katika simu za android zawadi kwa wanachama wa Forums hii muhimu kwa Jamii yetu. Check out "Jamiiforums...
8 Reactions
39 Replies
4K Views
Nikimpigia mtu simu inaita tu lakin kwangu NA kwake yy hata kuita haiiti kabisa
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Halotel hawajawhi niangusha aisee
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Nina samsung j1 nilipoizima na kuja kuiwasha inaishia kwenye odin mode, naomba kujua utatuzi wa hili tatizo wanaforum maana haikubali kuingia download mode wala recovery mode.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wana JF... nimejaribu kutafuta MS Office kwenye torrents, matokeo yake napata vitu visivyoeleweka... msaada wenu tafadhali any trick I could use to get a free MS Office! au a link maybe
0 Reactions
5 Replies
943 Views
Habari ya wakati wana Tech baada ya kupitia coursera, edx na free code camp nimekuja na portifolio yangu nimeitengeneza kupitia code pen na kutumia bootstrap niki view kwenye PC UX/UI zinakuwa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za majukumu, Kuna note 4 ambayo ina custom version ya android 5.1.1 hivyo inakataa kwenda android six kwa kupitia OTA, naomba msaada wa kupata official android 6.0.1 ya note SM N910H ili...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Add me as a contact on YouTube.
0 Reactions
0 Replies
628 Views
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH. Husika na kichwa habari, Hivyo basi ili kufanikisha hill, huna budi kutazama video hapo chini Ahsanteni Sana.
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wana JF! Leo nachukua nafasi hii kuitambulisha Yuotube channel ambayo tutaenda kujifunza hatua kwa hatua web development na computer programming kwa ujumla! Kwa kuanza nimeandaa video...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari za muda wakuu...? Nimeletewa simu aina ya Acer liquid Z200 iliyokuwa ina tatizo kwenye booting; changamoto niliyoipata baada ya kuiflash na original firmware ambayo nimeidownload kutoka...
0 Reactions
1 Replies
707 Views
Simu yangu aina ya Lenovo X2Pt5 imekatika mkanda wa unaohusika na kuongeza sauti, kupunguza, kuwasha na kuzima, Je naweza kupata mkanda huo au ndo basi tena ktk simu hiyo maana nimehangaika bila...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom