Umh .zima toa memory card kama inayo kisha uiwashe tena haitakuwa na pattern
zima toa memory card kama inayo kisha uiwashe tena haitakuwa na pattern
Duh,kweli we quinine mtuzima toa memory card kama inayo kisha uiwashe tena haitakuwa na pattern
Memory yke ni internal memory ya kawaida hainasorry itakuwa nazo so kama unakumbuka ilikuwaje ukiirudia kuichora itakubali bila shida labda kama isiwe yako,yaani kama ulikweka pattern ya Z ukakosea baadae ukawa unaweka Z inakataa,ukitoa memory card uje uweke tena Z itakubali
jjesus kristuzima toa memory card kama inayo kisha uiwashe tena haitakuwa na pattern
soma uko nyuma nime quote upya acha uvivu wa kusoma,sasa si umpe njia gani afanye una apa bila kutoa solutionjjesus kristu
zima toa memory card kama inayo kisha uiwashe tena haitakuwa na pattern
usile nyama siku tatu pia usile vyakula vya mafuta na chumvi kunywa maji tu kwa siku saba wakati huo simu ukiwa umeiwekq uvunguni pia usiongee na mtu kwa week nzima kwa kufanya hvo utazikumbuka patn
Fuata hii njia au kama unakumbuka email uliyo sign up nayo kwenye hiyo simu na password yake basi chora pattern za uongo mara kadhaa na itagoma baada ya mara kadhaa kisha itakuomba uingine hyo email na password kisha itaji unlockNgoja nikusaidie mkuu japo sio rasmi ila endapo utashindwa kabisa ku unlock.
N.B... Njia hii itakufanya kufuta na kupoteza vitu vyote ulivyokuwa navyo katika simu ni kama ku flash ila hii unafanya mwenyewe na haina gharama.
1.zima simu yako
2.switch on
3.wakati inawaka hakikisha umeshika batani hizi ya kuwasha, kuongeza na kupunguza sauti kwa mara moja.
4.tafuta neno (factor reset)
Hapo utatumia button ya sauti kushusha kisha utatumia button ya kuzima kama "ok".
Hapo utakuwa umereset simu yako na utapoteza kila kitu katika simu... Ikiwa nimekosea unaweza nirekebisha maana si mtaalamu sana.
unamsaidiaje sasa maana naona unashangaa tuu bila solution,kumbe unajua hilo sio jibu sahihi toa sasa ww jibu sahihi mkuuWhat?
umefanikiwa??Asanteni
mmmmmmmmmmzima toa memory card kama inayo kisha uiwashe tena haita
toa jibu mkuu unategemewa kwa msaadammmmmmmmmm