Natumia window 10 .Nina copier canon ir 1024 .. Naomba msaada wa kupata driver ili iweze kuprint, nitashukuru.
Pia kama unayo software nitashukuru ukinisaidia
Habari za muda huu jamani wote kwa pamoja, napenda kushiriki na wana JF mambo mengi sana lakini bado sijajua taratibu zikoje kuhusu kupost kutu.
Kwa mfano mpaka sasa sijajua kabsa kuweka picha...
Yaan nikiweka line ya airtel ndo inazngua tu nikibadilisha upande wwte wa line inazngua ila lkn ya tigo na voda sehemu zote zinasoma nikijaribu airtel ndo inazngua some time inasoma kama sekunde...
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH
JINSI YA KUJUA KILA ALICHOKIFANYA ULIYEMUAZIMA COMPUTER
NB Dhumuni La Tutorial Hii Ni Kujifunza Tu, Hivyo Basi Itumike Katila Kheri Na Sio...
Habari wana jamii forum
Jana nilisoma kuhusu habari ya DEEP WEB kwenye jukwaa la habari mchanganyiko,sasa bado nina kigugumizi kuhusu hii kitu naona bado inanitishia maana nimeinstall naona bado...
What is the deep web?
The deep web is that part of the internet that is not accessible through regular searches on google or on other search engines.
Here are some facts about the deep web...
Naombeni mnisaidie, nawezaje kuandika barua kwenye excel na kuituma iende kwa watu hata watatu?
Je, excel inauwezo wa kuandika barua? Je, nawezaje kuituma kwa email ikawa na wapokeaji wawili ama...
Wadau habarini za asubuhi
Kwa yeyote mwenye uelewa wa UDUKUZI, asaidie kumgundua mdukuzi (hacker) anae dukua taarifa za mawasiliano yangu na kujua sehemu (location) zote ulizopo,naomba msaada...
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAH WABARAKAATUH
IJUE IDADI YA WEBSITE ZILIZOHACK-IWA, INTERNET USERS N.K WA SIKU YA LEO.
HATUA
1. Ingia Google.Kisha Nenda Sehemu Ya Kuandika Url.
2. Andika...
Wadau salamu kwenu.
Namhitaji mtaalum wa kudesign Web kwa ajili ya taasisi. Kama kuna mtu yupo expert na mwenye uzoefu wa kutosha kwenye kazi hii plse ni PM kwa mazungumzo zaidi.
Nipo serious na...
Google is the best search engine available on the Internet. Period. Thats why it is important to know how to master it with this Google tricks section! When Internet started becoming famous the...
Nimeona hili la developers wa kitanzania kutokuwa na ushirikiano mzuri kati yao na hivyo kurudisha nyuma mafanikio na mchango wao katika ukuaji wa TEHAMA kwa maendeleo ya taifa letu Tanzania...
Kwanza kabisa mod muuache uzi Huu kama ulivuo ntashukuru.
Uahauri jamani nataka host na kuchukua kibali cha kumiliki forum kwa ajili ya kuwaunganisha wanafunzi Wa vyuo vikuu na watu wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.