hiyo iPad haina APP STORE KWANI MKUU?? ingia App store usearch whatsapp utaikutaMwenyekujua kudalod whatsapp kwenye iPad anisaidie
Mmh hapo kwenye kuscan kwa kutumia simu nyingine sijajua kabisa...Mkuu ipo tatizo inataka uscan kwakutumia cm nyingine naukitumia cm nyingine manukau mnashea whatsapp ndo tatizo
Mmh hapo kwenye kuscan kwa kutumia simu nyingine sijajua kabisa...
Ngoja wajuzi zaidi waje...
Inataka u scan kwa kuwa iPad unayotumia ni Wi-Fi only haitumii sim card(line ya simu).Mkuu ipo tatizo inataka uscan kwakutumia cm nyingine naukitumia cm nyingine mnakuwa mnashea whatsapp ndo tatizo
Mwenyekujua kudalod whatsapp kwenye iPad anisaidie
Naona kama tatizo lako sio kwenye ku download bali kwenye kuitumia.
Kama iPad yako ni Wi-Fi only na sio inayotumia line basi lazima u scan ili uweze kuitumia.
Nini kinakukwaza kwenye kuscan?
Kwanza ipad haisupport whatsapp hata iwe hiyo ipad ina support sim card bado whatsapp haikubari mpaka ufanye sarakasi unless utumie namba moja kwenye whatsapp na simu kama ilivyo kwa whatsapp web kwenye pc.iPad yangu hinatumia line tatizo nikipakuwa whatap ndoinataka in scan naninapo scan ile cm na iPad zina Shea whatsap ndotatizo Mkuu.
Umemaliza kabisa asiyekuelewa haelewi tena! Mimi nina iPad mwaka wa tano sasa sijaweza kuweka Whatsapp kwa kuwa inatumia Wi-Fi only! Nimeamua kubaki kutumia Whatsapp kwenye simu na iPadi mambo mengine!Kwanza ipad haisupport whatsapp mpaka ufanye sarakasi unless utumie namba moja kwenye whatsapp na simu kama ilivyo kwa whatsapp web kwenye pc.
Kama unataka kuinstall whatsapp fanya kuijail break kuna repo cydia ya kuinstall whatsapp.
Ila kama uke update mpaka ios 11 sahau kujail break kwa sasa vuta vuta muda mpaka pangu au taig watoe njia.
Ipad siyo simu ni tablet ndiyo maana apple kainyima features za simu ili simu ibaki simu na tanlet ibaki tablet, it is all about style...:
Mwenyekujua kudalod whatsapp kwenye iPad anisaidie
Kwanza ipad haisupport whatsapp hata iwe hiyo ipad ina support sim card bado whatsapp haikubari mpaka ufanye sarakasi unless utumie namba moja kwenye whatsapp na simu kama ilivyo kwa whatsapp web kwenye pc.
Kama unataka kuinstall whatsapp fanya kuijail break kuna repo cydia ya kuinstall whatsapp.
Ila kama ume update mpaka ios 11 sahau kujail break kwa sasa vuta vuta muda mpaka pangu au taig watoe njia.
Ipad siyo simu ni tablet ndiyo maana apple kainyima features za simu ili simu ibaki simu na tablet ibaki tablet, it is all about style and taste...: