msaada katika PC

Mudhyd

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
492
507
kuna pc(HP) ninayo ilikua na windows 7 na ikiwa inafanya kazi vizuri tuu, lakini nilichukua maamuzi ya kubadili window na kuweka windows 8, but on that time baada tu ya kukamilika installation ya windows 8 sauti ikawa haitoki ila tu kwa earphone.
sasa sijui tatizo ni nini japo nimejaribu kuweka drivers lakini nikaambulia patupu, naombeni msaada katika hili wakuu!!!
 
natumia hp elitebook ,driver niliweka ya 2013 nikaupdate ya 2015(driverpack solution)
bado jina la laptop kamili hujalitaja na driverpack solution ina matatizo mengi tu huenda yenyewe ndio inayokuzingua
 
Hata mm nishakutana na case hiyo kwa tv card ikagoma kutoa sauti,nalikuwa na hp ina win 7 nipoweka win 10 ikagoma mpaka leo kwa built in speakers ila wa earphone kitu sterio.
 
Most conclusion...
Download SOFTWARE
NAME...
1. Slimdrive
2. Istall
3. RUN a dinner
4.SCAN your occasion
Hakikisha kwamba upo CONNECTED ON internet
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom