Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kama inavyojieleza hapo kwenye heading naombeni msaada memory card yangu nashindwa kuhamisha files kutoka kwenye PC kwenda kwenye memory, au nikitaka kufuta baadhi ya files kwenye memory...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nina TECNO-W3LTE inatatizo la kwenye whatsApp tu ndo inazingua nikiwasha data whatsApp inakataa ila app zingine zote zinakubali. Nilijaribu kuconnect wifi ndo WhatsApp ikakubali na siwezi kutumia...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna habari kwamba TCRA itatoa mafunzo ya simu kwa mafundi simu wa upande wa SOFTWARE sasa nilikuwa nataka kujua utaratibu upo vipi na sifa zipi zinatakiwa Hebu tusaidiane katika hili wandugu
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Natumia samsung galaxy note 5 verzon shida yangu ni kwamba alama ya 4G kama inavyoonyesha kwenye picha ya kwanza haitoki hata nikizima data. Hvyo naomba kuelekezwa nifanye nini ili nikizima...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Jamani Ndugu zangu wataalam tusaidiane ninae hio simu yangu tajwa apo juu imekuja na Metropcs kama sikosei, sasa kila nikijaribu kuweka WCDMA au LTE yaani no network kabisa....sasa wanandugu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Nilikuwa naulizia kampuni za matangazo ( Ad network ) kwenye blog /website hapa Tanzania. Shukran
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wakuu sahanini naomben msaaada wa link ya whatsapp GB latest version tafadhali [emoji122]
3 Reactions
46 Replies
20K Views
Wakubwa shikamoni,wadogo habari zenu. Nlikuwa nina shida moja nilikuwa nauliza wapi nitapata Wi-Fi router ambayo itaniwezesha kuungalisha internet kwenye tv yangu ya Samsung Smart tv 49...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Laptop inaniandikia CRITICAL PROCESS DIED kila nikiiwasha halafu inajirestart kwanza.ina windows 10.natatuaje hili tatzo maana inachelewesha kuwaka
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani nimeiangalia hii clip nimeamini kuna watu wenye ujasiri wa hali ya juu, kila unachofannya inabidi ukifanye kwa ujasiri wa hali ya juu ili ufanikishe. Hii imetokea huko south africa na CCTV...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Samahani wakuu naomba mtu anayejua ku update azam receiver anisaidie nimeenda menu na kubofya 012 ila hapa kwenye pid ndo sijajua.naomba msaada
0 Reactions
1 Replies
939 Views
Wataalamu wa Mitandao Nina tatizo kama kuna mtu anaweza kunishauri cha kufanya!! Msg zangu zinasomwa ktk cmu yangu kupitia WhatsApp. Password yangu ya simu ninayo na sometimes nabadisha kila wiki...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema naombini msaada kwa anayefaham installation ya Eurostar dish anipe muongozo. Asanteni
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tafadhali wakuu kwa anaye fahamu namna yakupata namba ya U.S.A au Canada kwa ajili ya matumizi ya WhatsApp naomba anisaidie tafadhali natanguliza shukran
1 Reactions
18 Replies
5K Views
nakumbuka kulikua na thread kama hii nimeitafuta sijaipata, kama ipo mods mtaziunganisha. muda mrefu nimekuwa nikitafuta madukani vifaa vya computer ambavyo mtu ataweza mwenyewe kutengeneza...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Wakuu naomba kujua jinsi ya kudownload music hizi za bongo fleva kwa kutumia i phone, nimejaribu sanaa nimeshindwa. Na vile vile uwezo wa kuamisha nyimbo toka kwenye pc kuja kwenye iphone bila...
2 Reactions
59 Replies
7K Views
Habari, Kuna software inabidi niweke kwenye android tablet bahati mbaya nikanunua tablet kabla software haijaja, inahitaji tablet yenye Gb 16, mimi yangu ina 8 GB hiyo baadhi ya updates zinagoma...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
wakuu kwa wenye utalamu zaidi wa kujua uzuri na ubaya wa hii simu, ikiwezekana na bei yake kwa hapa Tanzania na maduka ntakayoweza kupata kwa urahisi tafadhali.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF,ni kwamba nilikuwa Na memory card yenye ukubwa wa 2gb,hii memory nilikuwa nikitumia kwenye simu(smartphone) . Hivyo ilibeba programs baadhi za simu,sasa juzi kati nikaitoa...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari ya jumapili wakubwa naomba tushee maujanja ya gbwhatsapp,mimi uwa napenda bahadhi ya themes kwa juu kabisa inakuonyesha marafiki zako ambao wapo online,pili unaweza kubadili rangi ya...
4 Reactions
106 Replies
17K Views
Back
Top Bottom