chemistryj
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 238
- 148
PC yangu aina ya DELL ukitia windows inasumbua na hats ikiingia window kioo hua cheusi na kuandika" Window is not genuine" nini tatizo na vipi nalisolve
Ntafute pmPC yangu aina ya DELL ukitia windows inasumbua na hats ikiingia window kioo hua cheusi na kuandika" Window is not genuine" nini tatizo na vipi nalisolve
Unaweka piratef windows ambazo zinaisha trial period fanya kuzicrack kwa kutumia loader au kms server.PC yangu aina ya DELL ukitia windows inasumbua na hats ikiingia window kioo hua cheusi na kuandika" Window is not genuine" nini tatizo na vipi nalisolve
Unatumia windows gani kwani?Nieleweshe zaidi hapo