Pharmacy sells system

AMAN32

Senior Member
Feb 6, 2013
110
55
Habari wanajamii Mimi ni mwanafunzi wa mambo ya programming sasa naombeni ushauri nimetengeneza full system ya medical store ambayo unaweza kuuzia dawa
Kati ya faida ambazo unaweza kupata katika system hii ni kukusaidia kama duka lako linpata faida au la,kukumbusha kutoa dawa zilo expire.Sasa Mimi sijui kama MTU akihitaj nimuuzie sh ngapi,wenye uzoefu nisaidieni nimetumia visual c#
 
yaani umefanay wewe afu haujui uuze sh ngapi... toa bure kwanza ili upate mrejesho maana inaweza isiwe stable kwani hujawahi uzia dawa... mpe mtu aijaribu afu utapata mrejesho.. utarekebisha pa kurekebisha na kuongezea mambo kadhaa wa kadah
 
Fanyaa kuzisupply kwnye pharmacy as demo version au wakiridhika nayo after 30days hv after demo,call them for sales issue kama waliipenda au laaah....jaribu kujifunza promotion na marketing skills for softwares ...google is there for you
 
Unavyoongea ni kama your first production app vile, nakushauri uanze cheap tu usijekuta una bugs milioni, anza na laki tatu nne, usiende zaidi ya hapo wakaja kukufunga bure, ila kama unaamini kweli app yako then bora udeal na pharmacy kubwa, ila inabidi ujipange vizuri kwenye kupitch, inabidi uwaonyeshe kua kweli wanahitaji sana software yako la si hivyo mbongo atakwambia kwani daftari si linatosha.
 
Habari wanajamii Mimi ni mwanafunzi wa mambo ya programming sasa naombeni ushauri nimetengeneza full system ya medical store ambayo unaweza kuuzia dawa
Kati ya faida ambazo unaweza kupata katika system hii ni kukusaidia kama duka lako linpata faida au la,kukumbusha kutoa dawa zilo expire.Sasa Mimi sijui kama MTU akihitaj nimuuzie sh ngapi,wenye uzoefu nisaidieni nimetumia visual c#
Nicheck mkuu hapa tufanye kazi 0765696086
 
Back
Top Bottom