Msaada kuroot Android 6

Lukanka

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
510
528
Salama wakuu,

Natumia Infinix 4 lite, inatumia android 6. Nimejaribu kwa KING ROOT na KINGO ROOT lakini zimeshindwa.

Msaada nifanyeje wakuu.
 
Hakuna hata mmoja anaejua hili jamani!?mwenyewe nilitaka msaada jinsi ya ku-root Infinix S2 Pro.kwa mwenye kulijua hii tunaomba atushirikishe.
 
Back
Top Bottom