Habari ya jion wapendwa.,
application ya whatsap haifanyi kazi shida ni nini.
lakini ukitumia data tofauti na simu yenyewe ina fanya kazi kawaida i. e wifi.
MSAADA WAKO, ASANTE
Mwanaume utanashati bwana, na baadhi ya gadgets ambazo mwanaume yeyote anayethamini mwonekano wake wa nje anatakiwa kuwa nazo ni saa na simu.
Binafsi nathamini na napenda nionekane unique and...
Watumiaji wa Kitandao ya Kijamii ya Facebook na Instagram siku ya jana walikumbwa na mshangao baada ya mitandao hiyo kutopatikana kwa saa kadhaa. Tatizo hili liliwakumba watumiaji wa Simu za...
Habar wana jf. Nahtaji msaada kujua namna ya kutumia smart phone yangu kama keyboard katika kompyuta yangu. Angalizo natumia iphone pia desktop yangu czani kama inadrivers za wire less
Hamjambo wakuu. nina swali katika upikaji wa kutumia gas kuna njia mbili ya kwanza ni ile ya kutumia jiko mara nyingi yana sehemu mbili za kupikia halafu hayana kelele njia ya pili ni ile ya...
Wakuu tusaidiane hapa .
Nimeinstall pess 2017 vizuri kabisa ila wakati wa nalifungua ikaja hiyo Erro...tajwa hapo juu ...Kwakweli limedisappoint .. kifile chenyewe nakiona knwye Crack file...
Kwa mara ya kwanza kampuni ya Microsoft imesema hadharani kwamba rasmi sasa hawatatengeneza wala kuendeleza tena mfumo wa Windows kwa simu janja (windows Phone OS).
Taarifa rasmi kupitia mtandao...
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH
Habari zenu
Nimeanzisha uzi huu kwa lengo la kujuzana PHONE & COMPUTER TRICKS.
Hivyo basi, yeyote mwenye kujua chochote kinachohusiana na PHONE &...
Habari ya asubuhi wakuu,
Naomba wajuzi wa simu wanijuze simu nzuri inayoweza kumudu mikoani hasa mkoa wa mbeya, mtu anaetumia kuna mambo mengi ya Internet anatumia sana hasa youtube, ana uwezo wa...
Habar wanazengo,
Bila kupoteza muda naombeni ushauri ambao naeza Fanya mwenyew kitu kikatik,...
Ni hivi laptop yangu hivi majuzi kabla ya kudai kupigwa window upya imeanza kustack na ku-misbehave...
Wakuu jana nilijikuta( kibahati mbaya) nimefuta permanent file langu moja lenye mambo ya muhimu .yaani nilibonyesha shift +delete na kulifuta hilo file kabisa kwahiyo halikwenda kwenye Recycle...
Habari wanaJF,
Natumia simu aina ya tecno CX (camon ) imefika muda inanikera kidogo
tatizo lake ni kwamba haiconnect USB kwa PC nimejaribu kuipekua kwa kina nikaset USB debug on nikaset USB...
Hatimae kampuni giant Microsoft wamekiri hadharani kuwa window phone Os haitakuwa na update tena pia wataachana na mambo ya simu,tutegemee update upande wa computer tu
Kulingana na msemaji wao...
Habari za jioni Wakuu
Miezi kadhaa iliyopita niliibiwa simu yangu... kwavile niliinunua ikiwa full boxed nikafungua shtaka polisi na nilipeleka risiti polisi pamoja na Imei number
Polisi...
More iPhone 8 and iPhone 8 Plus units have come back to Apple’s service team, all of them sharing one issue: the battery has bloated to the point where the display has come away from the rest of...
Swali jamani
Nina desktop yenye Ram ya Gb 4, sasa nataka niwe na Gb 8 bila ya kutoa hii ya sasa, je, naweza tafuta Gb 4 nyingine au Gb 2 mbili nikapachika???
Shukran sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.