apologize
JF-Expert Member
- Jul 22, 2015
- 709
- 568
Habari wakuu, nina laptop yangu HP 6930p elitebook. Baada ya kupeleka kwa fundi kufanyia marekebisho kidogo na kubadilishiwa/ kuweka window 8.1 imegoma kushika wireless na hata nikiwasha Wi-Fi inakuwa inactive yaani inasoma "OFF" inakataa kusoma "ON" Kama mwanzo ,kwa wajuzi wa mambo naomba mnisaidie katika hili,