Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nimeona hili la developers wa kitanzania kutokuwa na ushirikiano mzuri kati yao na hivyo kurudisha nyuma mafanikio na mchango wao katika ukuaji wa TEHAMA kwa maendeleo ya taifa letu Tanzania...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
jamani wasalaam samahani ndugu zangun nahitaji hiyo link ili niweze kufanya kazi yangu ambayo inakuwa supported na hiyo word
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hamjambo Nawapenda. Naomba mwenye link kama nilivyoeleza hapo juu anisaidie. Nataka ya ekyc VODACOM Asante.
0 Reactions
16 Replies
34K Views
Naomba kuuliza ni jinsi gani naweza kupost(kuapload) video youtube? Naomba msaada
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwanza kabisa mod muuache uzi Huu kama ulivuo ntashukuru. Uahauri jamani nataka host na kuchukua kibali cha kumiliki forum kwa ajili ya kuwaunganisha wanafunzi Wa vyuo vikuu na watu wenye...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama inavyojieleza hapo kwenye heading naombeni msaada memory card yangu nashindwa kuhamisha files kutoka kwenye PC kwenda kwenye memory, au nikitaka kufuta baadhi ya files kwenye memory...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nina TECNO-W3LTE inatatizo la kwenye whatsApp tu ndo inazingua nikiwasha data whatsApp inakataa ila app zingine zote zinakubali. Nilijaribu kuconnect wifi ndo WhatsApp ikakubali na siwezi kutumia...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna habari kwamba TCRA itatoa mafunzo ya simu kwa mafundi simu wa upande wa SOFTWARE sasa nilikuwa nataka kujua utaratibu upo vipi na sifa zipi zinatakiwa Hebu tusaidiane katika hili wandugu
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Natumia samsung galaxy note 5 verzon shida yangu ni kwamba alama ya 4G kama inavyoonyesha kwenye picha ya kwanza haitoki hata nikizima data. Hvyo naomba kuelekezwa nifanye nini ili nikizima...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Jamani Ndugu zangu wataalam tusaidiane ninae hio simu yangu tajwa apo juu imekuja na Metropcs kama sikosei, sasa kila nikijaribu kuweka WCDMA au LTE yaani no network kabisa....sasa wanandugu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Nilikuwa naulizia kampuni za matangazo ( Ad network ) kwenye blog /website hapa Tanzania. Shukran
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wakuu sahanini naomben msaaada wa link ya whatsapp GB latest version tafadhali [emoji122]
3 Reactions
46 Replies
20K Views
Wakubwa shikamoni,wadogo habari zenu. Nlikuwa nina shida moja nilikuwa nauliza wapi nitapata Wi-Fi router ambayo itaniwezesha kuungalisha internet kwenye tv yangu ya Samsung Smart tv 49...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Laptop inaniandikia CRITICAL PROCESS DIED kila nikiiwasha halafu inajirestart kwanza.ina windows 10.natatuaje hili tatzo maana inachelewesha kuwaka
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani nimeiangalia hii clip nimeamini kuna watu wenye ujasiri wa hali ya juu, kila unachofannya inabidi ukifanye kwa ujasiri wa hali ya juu ili ufanikishe. Hii imetokea huko south africa na CCTV...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Samahani wakuu naomba mtu anayejua ku update azam receiver anisaidie nimeenda menu na kubofya 012 ila hapa kwenye pid ndo sijajua.naomba msaada
0 Reactions
1 Replies
942 Views
Wataalamu wa Mitandao Nina tatizo kama kuna mtu anaweza kunishauri cha kufanya!! Msg zangu zinasomwa ktk cmu yangu kupitia WhatsApp. Password yangu ya simu ninayo na sometimes nabadisha kila wiki...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema naombini msaada kwa anayefaham installation ya Eurostar dish anipe muongozo. Asanteni
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tafadhali wakuu kwa anaye fahamu namna yakupata namba ya U.S.A au Canada kwa ajili ya matumizi ya WhatsApp naomba anisaidie tafadhali natanguliza shukran
1 Reactions
18 Replies
5K Views
nakumbuka kulikua na thread kama hii nimeitafuta sijaipata, kama ipo mods mtaziunganisha. muda mrefu nimekuwa nikitafuta madukani vifaa vya computer ambavyo mtu ataweza mwenyewe kutengeneza...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Back
Top Bottom