Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
Hello guys, i hope you are doing fine, Naombeni mnisaidie jinsi ya kutuma hela kwenda payoneer account
kwenye website ya wahusika https://www.payoneer.com/ , niliipata kadi yao bure kabisa waliyonitumia kwa njia ya P.o. BoxUmeipataje hiyo account?
Inatumika kwa ajili ya kupokea malipo kutoka nje.Mimi mwenyewe mwezi wa sita sasa tangu wanitumie, nili activate lakini kwenye kuweka hela nimeshindwa kabisa hakuna maelekezo ya wazi hivyo sijaitumia
Hello guys, i hope you are doing fine, Naombeni mnisaidie jinsi ya kutuma hela kwenda payoneer account
labda hamkuelewa vizuri kabla ya kuagiza hiyo cardMimi mwenyewe mwezi wa sita sasa tangu wanitumie, nili activate lakini kwenye kuweka hela nimeshindwa kabisa hakuna maelekezo ya wazi hivyo sijaitumia