graphics chip au GPU ina vinjia vidogo vingi kama miguu so maranyingi kama haijafa vimiguu vile upelea km vinapanda juu flan hivyo PC huwaka lkn no display
ndo maana kuna baadhi ya mashine ikitokea mashine hiyo haidisplay ukiikandamiza kwa nguvu GPU PC inakubali kuwaka ni kutokana na kuwa umezigusanisha njia
lkn pia kuna wakati mwingne PC huwaka inapojisikia yenyewe au ukiwasha usiizime au usirestart iwake tu hiyo yote uwa GPU
kureball sijui niseme vipi ila
kama unavyoijua GPU ilivyoungwa na boad njia zake ni nyembamba uwezi kutoa kwa blower wala gan na ukilazimisha unaiua kabisa kutokana
mosi - GPU inahitaji kiwango sahihi cha joto ukizidisha unaiua
pili- njia zake ni nyembamba ukikosea unazikata na ukikikata kimoja tu imekufa
tatu - ukizidisha joto zaidi unaivimbisha unaiua
ndo hizo 7bu zinawapelekea mafundi kkoo washindwe kufufua GPU zaidi ya kuzidedisha
so reball ni kuna mashine maalum ambayo inaitoa GPU katika motherboad bila damage yoyote na kureball yaan tuseme kama kuifanyia service GPU katika kisakiti chake au kuisafisha then kwa kutumia mashine hiyo unairudisha vizuri then PC inawaka safi
hapa bongo mashine hiyo walikuwa nayo WAKOREA flan kkoo ambao walikuwa wanafufua mpk HDD ilokufa upande HARDWARE au Hata software tuseme mamaezao wale walikuwa wanafufua HDD na PC yoyote mpaka MAC XBOX PS na things nyingne za comp