ndugu, naombeni kujuzwa juu ya hizi device za xiaomi, nnahtaji kununua thou naambiwa kuna aina na model nying tu....... natanguliza shukrani
Hii alinipa boss wangu mchina(brand new), wezi waliiba iPhone yangu mbeya City sababu ya nature ya kazi ikabd tu anipe xiaomi note 4x mpya nieendelee na kazi.ky m npo inlove na xiaomi mi max 2... hiyo yako ulinunua wapi?