Mimi kapotea....! Kutokana na kupenda changamoto mpya nipo tayari kukusaidia ukiwa na shida yoyote ya IT.
Aina ya support nayo toa ni free na remote Kama itakuwa shida ya hardware nitakushuri...
Kuponda ndo mnachojua,
Kwa nini msitafute alternative solution ya problem.
Mnapenda kujaji vitu kwa mnavyoviona na hamchunguzi kiundani tatizo ni nini!
Na kwa nini tech wa TZ wengi wawe wabovu...
Wakuu ni hivi Niko na pc moja hapa jina ni Dell latitude E5430 Sasa hii Pc sikuu za nyuma kidogo ilikuwa inadai kuwa graphics drivers ni zakitambo kwa hivyo na hitaji ku update. Sasa nikacheck...
Usika na kichwa cha habari hapo juu
Nimetumiwa simu na rafiki yangu lkn tatizo haisomi line inasoma kwa muda then inanilete ujumbe huu
Mwenye kujua tatizo naomba anisaidie
Natanguliza shukrani
Habari za leo
Motor ya 3 phase inazunguka kuelekea upande tofauti na unaotarajiwa(Anticlockwise) hivyo kushindwa kufanya kazi inayotakiwa kufanya.
Ni connection gani ifanyike au marekebisho gani...
Msaadaa je kioo kikiwa red kwenye simu kina madhara kinahitaji kubadidilishwa au unaweza tumia tu maana kioo cha cmu yangu kwenye sehemu nyeupe kina kuwa kama pink lakin kwenye video inaonyesha...
Poleni ndugu zangu kwa machungu ya tozo na Kalyanda[emoji2357]
Naomba niingie kwenye mada husika kama nilvoandika hapo juu.
Natamani kununua kisimbuzi cha antena cha Azam hii ni baada ya kukosa...
Habari wakuu..Kipindi hiki Cha joto simu zinapata Moto sana.
Hasa hizi simu zetu za tecno yaani Hadi unaogopa kuendelea kuitumia mpaka ipoe hasa ukiwa kwenye mtandao vipi Kuna madhara yanaweza...
kwenye audio kuna option ta 32 kbps, 64 kbps, 128 kbps, 320 kbps na hii DD+ atmos 768 kbps.
Nimevutiwa na namba kubwa, laptops zetu hizi za kawaida kuna haja ya kushusha huo mzigo wenye 768 kbps ??
Wadau nimetumia computers zinazotumia window, sasa nimechoka mambo ya kuinstall window na matatizo kibao, sasa nataka kuhamia computer za Mack.
Sasa naomba kujua faida zake na hasara zake.
Kama msaada Tampa halo juu waungwana naomba kujua ubora wa hiyo simu na matatizo yake maana nataka kununua na itapendeza kama bei mungenielekeza ili kuepuka mapunjo makubwa.
Kundi la tatu la sampuli za majaribio ya sayansi ya anga za juu, ambalo lilirudishwa na chombo cha anga za juu cha Shenzhou 14 cha China, lilirejeshwa Beijing alfajiri ya tarehe 5. Sampuli...
Habari wakuu
Kusema kweli hapa Kuna kitu sikielewi ,siku ya tano Leo WhatsApp yangu imekuwa haifanyi kazi ,hata nikibadili namba bado unakuja ujumbe wa kublock ,wananipa maelekeo kuverifie...
Rafiki yangu ameniomba nimpe ushauri kuhusu hizi simu mbili za Samsung.
Binafsi natumia simu ndogo tu ya Samsung A11. Sijawahi kuvuka hapo hivyo sina uzoefu na hizi mnazoita Flagship.
Sasa...
Habarini Wadau,
Naomba nijuzwe ni software ipi ya muhimu sana na inayoweza kutumiwa na bank zote au karibu zote katika process nzima ya kukeep data,kufanya transactions n.k
Kuna uwezekano mkubwa...
Wadau,
Ukiingia website nyingi utaambiwa"We use cookies to enhance performance"hapa watakutaka ukubali cookies(accept)au uzikatae.
Sasa naomba kujua cookies ni nini na kazi zake ni zipi na...
-----------IN_FACT------------
USIJARIBU KUGOOGLE VITU HIVI
KAMA UTAJARIBU NI JUU YAKO MAANA NAKUAHIDI GOOGLE WAATAHARIBU KABISA SIKU YAKO
01.TUBGIRL
Ukigoogle neno hili TUBGIRL utapata kuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.