Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 11,634
- 26,373
Wadau,
Ukiingia website nyingi utaambiwa"We use cookies to enhance performance"hapa watakutaka ukubali cookies(accept)au uzikatae.
Sasa naomba kujua cookies ni nini na kazi zake ni zipi na ukikubali au ukizikataa zina athari gani?
Pili kwenye simu zetu kuna vitu huwa vinaitwa cache,mara nyingi simu inakutaka Ku clear cache,hivi navyo ni vitu gani na vinasaidia nini?
Karibuni kwa ufafanuzi.