Ipi ni simu nzuri na ya kisasa kati ya Samsung S10 VS Samsung A53.5G?

KASULI

JF-Expert Member
Aug 6, 2020
599
669
Rafiki yangu ameniomba nimpe ushauri kuhusu hizi simu mbili za Samsung.

Binafsi natumia simu ndogo tu ya Samsung A11. Sijawahi kuvuka hapo hivyo sina uzoefu na hizi mnazoita Flagship.

Sasa wataalam wa gadgets hapa naomba ushauri wenu. Japo kichwa cha habari nimeweka vitu viwili lakini napenda nishauriwe zaidi kuhusu mambo mengine mfano.

Perfomance
Battery
Charging
Durability
Materials mfno hardware na software...OS, nk
Camera both normal na selfie
Storage
Display
Weight

Ili nipate cha kumshaurii huyu bwana mdogo.

Asanteee....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
S 10 ni highEnd/flagship smartphone huwezi zifananisha na hizo A series
 
Ndugu yangu usidanganyike na hiyo flagship, sioni sana kitachokuwa kwenye hiyo S10 ambacho utakimiss kwenye A53.

Kwanza simu ya 2019 kupata mpya ni ngumu sana utaishia kupata mtumba tu na pengne ushachakachuliwa kuanzia OS, camera na hata screen.

Kindly, go for the new one.
A53 will be the best choice for me.
 
Rafiki yangu ameniomba nimpe ushauri kuhusu hizi simu mbili za Samsung.

Binafsi natumia simu ndogo tu ya Samsung A11. Sijawahi kuvuka hapo hivyo sina uzoefu na hizi mnazoita Flagship.

Sasa wataalam wa gadgets hapa naomba ushauri wenu. Japo kichwa cha habari nimeweka vitu viwili lakini napenda nishauriwe zaidi kuhusu mambo mengine mfano.

Perfomance
Battery
Charging
Durability
Materials mfno hardware na software...OS, nk
Camera both normal na selfie
Storage
Display
Weight

Ili nipate cha kumshaurii huyu bwana mdogo.

Asanteee....

Sent using Jamii Forums mobile app
Achukue A52s ni nzuri kuliko A53 na pia perfomance yake ni Equivalent ya s10. Hivyo atapata simu mpya, perfomance kubwa na premium features kama za Flagship.
 
Wakuu
Ikiwapendeza Wekeni Na Bei Za Hizo Simu
Mfano S10 Huko Ughaibuni Mpya Zipo? Ama Laa!
 
Rafiki yangu ameniomba nimpe ushauri kuhusu hizi simu mbili za Samsung.

Binafsi natumia simu ndogo tu ya Samsung A11. Sijawahi kuvuka hapo hivyo sina uzoefu na hizi mnazoita Flagship.

Sasa wataalam wa gadgets hapa naomba ushauri wenu. Japo kichwa cha habari nimeweka vitu viwili lakini napenda nishauriwe zaidi kuhusu mambo mengine mfano.

Perfomance
Battery
Charging
Durability
Materials mfno hardware na software...OS, nk
Camera both normal na selfie
Storage
Display
Weight

Ili nipate cha kumshaurii huyu bwana mdogo.

Asanteee....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kapicha basi mkuu
 
Mimi nina S10 + 5g
Bro ana A 53

S10 iko poa zaidi, ila material inataka umakini kuitunza, ukiibwaga chini andaa robo tatu ya hela uliyonunulia kipata kioo.

Twende sasa
Zote zina 5g
Betri s10 ina 4500 A53 ina 5000

Camera zinafanana ila kimpangilio s10 iko poa zaidi

Kioo cha S10 kinang'aa zaidi

Selfie ya s10 ziko mbili zinatoa kitu clear hatari

In short S 10 5g ni nzuri na bei inaanzia 750,000 nakuendelea
Na hiyo A 53 inaanzia 650,000 au 700,000
 
Sorry mkuu nielekeze huko wanako uza hizo A53 kwa 650k nitakupa 50k kama Asante
 
Mimi nina S10 + 5g
Bro ana A 53

S10 iko poa zaidi, ila material inataka umakini kuitunza, ukiibwaga chini andaa robo tatu ya hela uliyonunulia kipata kioo.

Twende sasa
Zote zina 5g
Betri s10 ina 4500 A53 ina 5000

Camera zinafanana ila kimpangilio s10 iko poa zaidi

Kioo cha S10 kinang'aa zaidi

Selfie ya s10 ziko mbili zinatoa kitu clear hatari

In short S 10 5g ni nzuri na bei inaanzia 750,000 nakuendelea
Na hiyo A 53 inaanzia 650,000 au 700,000
A53 hawezi kupata kwa 650K-750 labda iwe used
 
Back
Top Bottom