Nachukia mnaowaponda IT wa TZ

Nachukia mnaowaponda IT wa TZ

martial jb

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
864
Reaction score
1,464
Kuponda ndo mnachojua,

Kwa nini msitafute alternative solution ya problem.
Mnapenda kujaji vitu kwa mnavyoviona na hamchunguzi kiundani tatizo ni nini!
Na kwa nini tech wa TZ wengi wawe wabovu!? Huoni kama kuna kitu hakipo sawa nchini.
Mfumo wa elimu ya Tanzania ni mbovu, na moja ya ubovu wake ni hautengenezi mazingira ya professions kwa wanafunzi kutoka chini.
I'm surely also 70% ya IT wa TZ wanasoma as alternative option baada ya kushindwa kufikia malengo ya coz zao.

Sasa mnavyoponda itasaidia nini sasa!!??

Acheni hayo mambo, watu wanatumia pesa, nguvu na maarifa kwenye taaluma zao, then nyie kirahisi mnaingilia taaluma za watu.
 
Toka mhitimu hayo ma IT yenu mna maajabu gani? Heshima ni kuonesha matokeo sio mbambamba
 
Sikiliza kijana

Elimu yetu ina changamoto nyingi hapaswi kulaumiwa mtu bali ni serikali.

Kumuandaa mwanfunzi bora mwenye uwezo sawa na mataifa yaliyoendelea sio jambo jepesi.

kitu cha kwanza unatakiwa kufahamu elimu nzuri ni gharama.

Huwezi kupata elimu nzuri bure, ni sawa na kutaka kutengeneza jumba zuri lenye sifa nzuri zote kwa gharama za chini ni jambo lisilowezekana.

Serikali ikiamua kuwekeza kwenye elimu naamini kabisa tunaweza kupata kizazi bora chenye uwezo.

Ukitaka kuishi maisha mazuri lazima uwe na fedha za kutosha hivyo hivyo katika elimu, ukitaka elimu bora ya kumkomboa mtanzania wekeza, kwenye miundombinu ya kuwandaa wanafunzi wapate kila kinachohitajika katika kumuandaa mwanzafunzi bora, ndani ya muda mfupi utaona matokeo chanya.

Natamani serikali ianzishe chuo cha kisasa chenye facilities za kisasa na wakufunzi waliokwiva kwa ajili ya kupika vizazi vijavyo.

mwisho.

mkereketwa na elimu ya kibongo.

Lecturer au assistant lecturer aanaekupa elimu leo nae kasoma elimu hiyohiyo unayosoma usitegemee maajabu 😂😂
 
Kbovu n kibovu tusilazimishane kuamini ni kizma
Jitu linacheza fifa miaka yake yote minne college af ukiambiwa hujui mambo unajaa hasira
 
Mi napokutana nao barabarani hata sijui kama huyu IT ni wa Bongo au Zambia/Malawi au Congo. Wote naona wanakimbiza tu gari. Labda waamue kuendesha taratibu. Lakini pia wakati mwingine hawa wa nje huwa wanakuja zipokea gari mipakani. Watu waache mazarau udereva wa IT ni mgumu na Risk sana.
 
Aisee...
sisi madereva wa v.IT.z tumekaa pale tunawaangalia, bila leseni.... 🤣 🤣 🤣
 
Mi napokutana nao barabarani hata sijui kama huyu IT ni wa Bongo au Zambia/Malawi au Congo. Wote naona wanakimbiza tu gari. Labda waamue kuendesha taratibu. Lakini pia wakati mwingine hawa wa nje huwa wanakuja zipokea gari mipakani. Watu waache mazarau udereva wa IT ni mgumu na Risk sana.
Disco limevamiwa na mmasai
 
Kitengo cha IT kwenye maofisi ukipiga simu kuomba utatuzi utasikia chomoa waya wa network halafu rudisha ,ikigoma utasikia zima pc halafu washa hapo kamaliza .......
 
Dah kweli wewe Chizi Maarifa wenzio wanasema wale wenye tabia kama za Hushpup.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitengo cha IT kwenye maofisi ukipiga simu kuomba utatuzi utasikia chomoa waya wa network halafu rudisha ,ikigoma utasikia zima pc halafu washa hapo kamaliza .......
Sasa kama anaelekezwa hajui hata VGA cable unategemea utumie neno gani? Mana ukianza kumwambia waya flan kwa terms za IT haezi elewa bora umwambie hivo mmalizane
 
Hehhe ,,hii nchi bwana bado hasa upande huo wa IT , wengi kama wamemeza tu ubunifu hakuna
 
Unasomea IT ukifika kwenye computer room mashine hazifanyi kazi inafanya kazi moja wanafunzi wako 200 hapo wanameza theory tu lazima utengeneze bomu tu hapo.
 
Back
Top Bottom