Wakubwa habari za leo,simu yangu aina ya samsung galaxy 20 plus ina tatizo ninapohitaji ishike 4g simu inashindwa kabisa kufanya kazi lakini 4g inaonekana nikiirudisha 3g tatizo linaisha.msaada...
Habari zenu wa JF.
Jana nilianzisha uzi wa kuomba msaada hakika mpaka sasa sijapata msaada. Tofauti na kusema nimeandaa mpunga kwa atakaeweza nisaidia lakini wapi!
Maelezo yako hivi nina Samsung...
Wakuu salama humu,
Ninahitaji kufanya factory reset ya simu aina ya Tecno Pop 2.
Nimetumia njia ya kubonyeza button ya power na volume up ila majibu nnayoyapata nimekwamia hapo hapo ndo maana...
hii brand ya xiaomi nimeona imeanza kutrend ukiangalia hii redmi 10c ya gb 128 ina sifa nzuri lakini kwa sisi wadau amabao hatuwajawi kutumia hizi nataka kufahamu ubora wake wa camera
pamoja battery
Habari za mda wadau naomba kujua au kufahamu ni app gani ya uhakika na isiyoyakulipia naweza itumia kuhack no ya mtu ili nipate message na call anazozipokea bila yeye kujua.
Nawasilisha ni kwa...
Wakuu katika kutafuta kioo cha iPhone xr online nikakutana na hii Aina mpya ya kioo inaitwa OEM Na bei yake imechangamka kidogo kuliko OLED.
Naombeni msaada wa aina ya hicho kioo kabla sijanunua.
Sijui nilibonyeza wapi hata sikumbuki.
Nilijikuta nikitype neno lolote inatamka neno au nikiandika namba inatokea sauti kutaja hiyo namba, kitaalamu wanaita (TALKBACK).
Imekuwa inanikera sana...
While we can rely on a spell checker to catch glaring errors, a computer cant pick up on all careless mistakes, especially if the word could be correct in a different context. Often word misuse...
Habari, nimenunua samsung note10plus ... no zile used za Dubai . Tatizo ni pale watu wakinipigia simu mi nawasikia vizur kabisa ila wao hudai kuwa simu yangu Ina kelele mno. ..yaan wakiongea saut...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyoeleza, kifaa ni simu (smart phone).
Wengine hatupendi kupakua movie ila kuangalia tu online, tatizo ni kila muda movie inagoma hakuna hata raha ya kuangalia...
Habari wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, wengine kutokana na harakati zetu muda mwingine tunakosa wakati wa kukaa kwenye TV kuangalia mechi hivyo naomba msaada kwa anayefahamu sites...
Kama heading inavyoeleza, tv yangu aina ya SAMSUNG ina hilo tatizo na sijui kuna mtu hapa nyumbanialichezea kwakweli sielewi.
Hivi sasa Nlnaangalia mpira ils kwa shida kwani channel zinajibadili...
Wakuu kuna taarifa zinazozidi kusambaa Kuhusu hacking iliyofanywa na cyber hackers wa Morocco kwenye tovuti ya wizara ya elimu tz (moe.go.tz)
Labda nijarbu kuliweka sawa kidogo hili.. Hizo...
Moja Kati ya kampuni inayokuja Kwa Kasi ulimwenguni ni Xiaomi wanaendelea kutoa simu nzuri na zenye muonekano wa kipekee Sana.
Hatimaye Xiaomi wameweza kuachia simu mpya aina ya Xiaomi pro 12...
Habarini wakuu,
Nimejaribu kufanya utafiti kidogo wa kujua gharama za Fixed Telephony (E1) ya tigo lakini nimeambulia patupu. ningependa kujua kama kuna mtu anayeweza kua anajua akanisaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.