Msaada kujua ubora wa simu ya Redmi Note 10S

kwetugt

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Posts
297
Reaction score
293
Kama msaada Tampa halo juu waungwana naomba kujua ubora wa hiyo simu na matatizo yake maana nataka kununua na itapendeza kama bei mungenielekeza ili kuepuka mapunjo makubwa.
 
Xiaomi ni Moja ya simu nzuri Sana hawa jamaa simu zao zinenyooks sema kama unaviela chukua note 11
 
Mkuu 10s si simu mbaya ila kwa muono wangu bei ya 550,000 kupanda not worth it. Tigo shop version ya 6GB walikua wanauza 550k na 8GB ni 580k ama 600k sikumbuki vizuri.

Snapdragon 695 ni soc nzuri sana kwa hii price point.
 
Chukua Note 10 pro, itakua poa zaidi.

Ni simu nzuri. Nafahamu watu kadhaa ambao wanatumia na sijawahi sikia shida yoyote. Zipo njema sana.

Kipindi fulani nilitaka kuagiza china direct . Bei zilikua hivi

View attachment 2304753
Screenshot_20220726-183013~2.jpg
 
Mkuu 10s si simu mbaya ila kwa muono wangu bei ya 550,000 kupanda not worth it. Tigo shop version ya 6GB walikua wanauza 550k na 8GB ni 580k ama 600k sikumbuki vizuri.

Snapdragon 695 ni soc nzuri sana kwa hii price point.
Pamoja sana mkuu, nasema ahsante!
 
Achana na hizo takataka za kichina. Nenda dukani tafuta simu zilizotumika nje ya nchi, mfano, UK, USA,JAPAN, DUBAI, n.k kufuatana na sifa ya simu uitakayo, na utapata kwa bei ya chini sana! watu wengi wanaojitambua walishaacha kununua hayo madudu ya kichina wanayouza kwa bei ya juu bila sababu ya msingi. Mfano nimenunua simu karibuni ya mwaka 2017 ina uwezo wa kucheza video za 4K.
 
Siku hizi kupata simu used kama zamani ni kazi, unakumbana tu na refurbished za kutosha.
 
Achana na hizo takataka za kichina. Nenda dukani tafuta simu zilizotumika nje ya nchi, mfano, UK, USA,JAPAN, DUBAI, n.k kufuatana na sifa ya simu uitakayo, na utapata kwa bei ya chini sana! watu wengi wanaojitambua walishaacha kununua hayo madudu ya kichina wanayouza kwa bei ya juu bila sababu ya msingi. Mfano nimenunua simu karibuni ya mwaka 2017 ina uwezo wa kucheza video za 4K.
Yani mtu aka risk 500 kweny refurbished za sasa hizi za dubai?
 
Kama msaada Tampa halo juu waungwana naomba kujua ubora wa hiyo simu na matatizo yake maana nataka kununua na itapendeza kama bei mungenielekeza ili kuepuka mapunjo makubwa.
Chukua kaka, Xiomi ni simu zenye features nzuri mno, mi natumia Redmi 10, RAM ni 4+2 GB na internal ni 128 GB. Hiyo Redmi Note 10s ni bira zaidi. Kama upo Dar tuwasiliane
IMG_20220726_224634.jpg
 
Na ndiyo anayotumia halafu ana diss, jalafu dunia ya leo unatumiaje simu imepita kwa mtu aisee
Tuache tumiliki flag ship zetu kwa bei ya mid range mzee. Mfano hiyo 500k unaweza pata Samsung S10+. Sasa kati ya hiyo S10+ na redmi note 10 ukiachana na sifa ya upower bank ya redmi kipi cha zaidi anacho kumzidi S10+?
 
S10+ mpya mkuu, Sidhani kama utapata mpya
Ila hizo Xiaomi ni mpya na zina Android 11 sio Android 9
Mwache aenjoy ulimwengu wa Mi
 
Back
Top Bottom