Wapi nitapata latest Intel graphics driver 4000

Superpower

JF-Expert Member
Oct 11, 2018
826
912
Wakuu ni hivi Niko na pc moja hapa jina ni Dell latitude E5430 Sasa hii Pc sikuu za nyuma kidogo ilikuwa inadai kuwa graphics drivers ni zakitambo kwa hivyo na hitaji ku update. Sasa nikacheck drivers zake zilikua ni 2016. Ni kaenda kwa website ya Dell nikusearch latest ya 2018 ni kadown na kuinstall manually lakini Chaku shangaza bado ina alert vilele kuwa ni usupported hivyo wakuu nawaomba msaada nitoke hapa
JPEG_20221206_190010_5097829601971871407.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom