CHRISTOPHERT
Member
- Jan 9, 2014
- 8
- 3
Wadau hivi ni jinsi gani naweza kuipata wifi password hacker v5 kwasababu nimejaribu kudownload ninapata shida, naombeni msaada.
Usifuate mkumbo mkuu programu nyingi za ku-hack wi-fi password kwenye play store ni scammer tu hakuna msaada zaidi ya kupewa video ads (matangazo) na link za ajabu ajabu programu za uhakika ziko deep sana mengine unalipa hata $90wadau hivi ni jinsi gani naweza kuipata wifi password hacker v5 kwasababu nimejaribu kudownload ninapata shida ,naombeni msaada.
Achana na hizo third-party programs nyingi za uongo ni chache saaaana zenye uwezo hata 10 sidhani kama zinafika.. Njia pekee kula kozi za mambo ya networking na cybersecurity kisha cheza na KALI LINUX au ANDRAX..wadau hivi ni jinsi gani naweza kuipata wifi password hacker v5 kwasababu nimejaribu kudownload ninapata shida ,naombeni msaada.
Haya yote tuyasomee wapi ndugu ?Achana na hizo third-party programs nyingi za uongo ni chache saaaana zenye uwezo hata 10 sidhani kama zinafika.. Njia pekee kula kozi za mambo ya networking na cybersecurity kisha cheza na KALI LINUX au ANDRAX..
Ni kweli kabisa ndugu yangu umeongea kwa usahihi fikiria tangu zamani mpaka sasa kuna toturial na huduma ngapi zinabebwa na google mfano how to hack any WiFi na unaona ni kweli but ukijaribu ni vitu viwili tofauti....Hacking mnachukulia kama Kunywa Mbege.
WiFi iwe hacked sio kiwepesi hivyo ndg yangu kwamba uta download App then few clicks tyr ushapata access.
Kwa ground mambo ni Mazito, na wala si swala la App hapo ni swala la Tools na weledi (Uwe unajua unachokifanya)
Exactly, without Social Engineering Method ni ngumu maana alternative ni Bruteforce Methodology ambayo itachukua muda sana kwa vile password ya Wifi inamjumuiko wa characters 10+, cracking/penetration yake si ya leo wala kesho.Ni kweli kabisa ndugu yangu umeongea kwa usahihi fikiria tangu zamani mpaka sasa kuna toturial na huduma ngapi zinabebwa na google mfano how to hack any WiFi na unaona ni kweli but ukijaribu ni vitu viwili tofauti....
It's true guys lakini haimaanishi kwamba hacking haiwezekani inawezekana but inabidi uwe mjanja about hacking Tools na IT kwa ujumla ukiwa kilaza kitakacho kukuta ni bora hata usingejaribu....Exactly, without Social Engineering Method ni ngumu maana alternative ni Bruteforce Methodology ambayo itachukua muda sana kwa vile password ya Wifi inamjumuiko wa characters 10+, cracking/penetration yake si ya leo wala kesho.
Yeah, kuna watu wamesoma Computer Science Bachelor Degree kbs lakini ni weupe kama walisoma Procurement vile yaan hawaelewi hawana upeo na maarifa ya kufanya mambo makubwa.It's true guys lakini haimaanishi kwamba hacking haiwezekani inawezekana but inabidi uwe mjanja about hacking Tools na IT kwa ujumla ukiwa kilaza kitakacho kukuta ni bora hata usingejaribu....
Uwezo wa mtu sio cheti aliyonayo ni uwezo wa kipekee kutoka ndani hii Kazi ukiwa na passion nayo utafanya mambo makubwa na wengine watashangaa kila kitu inahitaji subira na utulivu wa hali ya juu....Yeah, kuna watu wamesoma Computer Science Bachelor Degree kbs lakini ni weupe kama walisoma Procurement vile yaan hawaelewi hawana upeo na maarifa ya kufanya mambo makubwa.
All in all, hii fani si ya kila mtu.
Umongea kweli hapaUwezo wa mtu sio cheti aliyonayo ni uwezo wa kipekee kutoka ndani hii Kazi ukiwa na passion nayo utafanya mambo makubwa na wengine watashangaa kila kitu inahitaji subira na utulivu wa hali ya juu....

Asante kwa support yako ya nguvu mkuu vijana wengi sasahivi bado hawajaiona mitandao kama fursa ya kujikwamua kiuchumi ijapokua hakuna kitu kirahisi lakini kama utapenda unachokifanya ukajituma muda mrefu ukaweka malengo na nia kwa uvumilivu hakika utafungua pazia nyingine ya mafanikio kimaisha...Umongea kweli hapa![]()
Mahala pa kusomea ni pengi, soma UDEMY kule, YouTube, kwenye Forums mbali mbali za IT na pia soma vitabu vipo vingi huko Torrents.. Sio rahisi kama hauko interested na mambo ya hacking, hacking sio kitu ya mchezo ni kukomaa sana miaka...
Nmeandika mahala pa kusomea.. Sio rahisi kama hauko interested na mambo ya hacking, hacking sio kitu ya mchezo ni kukomaa sana miaka...
niko interested sana Ila kama huna passion na haya mambo ni heri uendelee na shughuli zingine tu usipoteze muda bure kufata mkumbo au ili kuonekana na wewe ni mtaalamu wa TECH..
Passion ninayo ndugu .Ila kama huna passion na haya mambo ni heri uendelee na shughuli zingine tu usipoteze muda bure kufata mkumbo au ili kuonekana na wewe ni mtaalamu wa TECH..
Telegram kule pia kuna groups za kujifunza haya mambo unaweza search ukajoin ukaanza kujifunza...niko interested sana
Iko siku nitakuwa competent.
Naomba nisaidie link ya huko telegram kama hutajariTelegram kule pia kuna groups za kujifunza haya mambo unaweza search ukajoin ukaanza kujifunza...
Ngoja niyasakue nilikua nayo mengi mno mpaka nikawa nasahau hata mengine nilkua najoin lini..Naomba nisaidie link ya huko telegram kama hutajari