Natamani kununua kisimbuzi cha antena cha Azam, changamoto zake ni zipi?

Full charge

JF-Expert Member
Mar 1, 2018
1,550
1,422
Poleni ndugu zangu kwa machungu ya tozo na Kalyanda

Naomba niingie kwenye mada husika kama nilvoandika hapo juu.

Natamani kununua kisimbuzi cha antena cha Azam hii ni baada ya kukosa pesa ya kununua kisimbuzi cha dish kutokana na pesa yangu kuwa ndogo.

Kwa mtumiaji yeyote mzoefu wa visimbuzi hivi naomba anipe changamoto au utaratibu wa hivi visimbuzi maana nina kosa uhondo wa ligi kuu na mambo mengine ninayo yakosa DSTV
 
Mi naona hakuna changamoto ila tu sijaona channel za kunifurahisha

Labda waje wengine waseme kuna channel zipi nzuri

Mi napenda movie lakin movie wanaweka za zamani
 
Mi naona hakuna changamoto ila tu sijaona channel za kunifurahisha

Labda waje wengine waseme kuna channel zipi nzuri

Mi napenda movie lakin movie wanaweka za zamani
Nikajua channels ni zilezile kama zinazoonyeshwa kwenye dish
 
Poleni ndugu zangu kwa machungu ya tozo na Kalyanda

Naomba niingie kwenye mada husika kama nilvoandika hapo juu.

Natamani kununua kisimbuzi cha antena cha Azam hii ni baada ya kukosa pesa ya kununua kisimbuzi cha dish kutokana na pesa yangu kuwa ndogo.

Kwa mtumiaji yeyote mzoefu wa visimbuzi hivi naomba anipe changamoto au utaratibu wa hivi visimbuzi maana nina kosa uhondo wa ligi kuu na mambo mengine ninayo yakosa DSTV
Kama unanunua azam antena kwa ajili ya azam 1 2 na azam sports hapo sawa. Changamoto zake kipindi nimekitumia mimi mwaka jana ukiwa unaangalia mechi za live somtimes zina scratch, pia hakina channel zote zilizopo kwenye dishi. Kama uwezo wa kununua cha dishi unao fanya hivyo
 
asant mkuu umenfungua

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Njoo nikupe details zangu za Dstv ulog in na uenjoy kila aina ya burudani ina zaidi ya chanel 150 kifurushi cha juu kuliko vyote chanel zote za michezo zinaifunguka na za kombe la dunia zote iwe za lugha ya kiswahili ama kifaransa ama kingereza ni wewe bei ni sawa na buree na hulipi kila mwezi ni kila baada ya miezi 3 kuna nafasi kama 2 hivi malipo ni baada ya kazi ukiridhika na huduma unapewa mda wa kujiridhisha kama nusu saa ndio unalipia kwa mawasiliano 0756695846.

Chakufurahisha app ya Dstv haili kabisaa mb yaani unaweza set qwality ya picha utakavo ina option 5 za qwality ni wewe huwa natumia kuangalia mpira kwa full time kwa dakika 90 natumia mb 200 au 300 tu wakati app zingine dakika 90 unajikuta umetumia gb1 kabisaa au zaidi mfano kama app ya mobdro nk toka nmeifahamu hii dstv siwezi kutumia app yoyote nyingine maana zinakula bando hatari ila hii dstv tumia utakuja niambia nimekaa pale hivi.
 
Back
Top Bottom