𝗨𝗻𝗮𝗷𝘂𝗮 𝘂𝗺𝘂𝗵𝗶𝗺𝘂 𝘄𝗮 𝗘𝗺𝗮𝗶𝗹 𝗿𝗲𝗰𝗼𝘃𝗲𝗿𝘆 !!
Unajua gmail imetengenezwa na Google, pia ni moja wapo ya platforms inayotumiwa na mamilioni ya watu ulimwenguni, kwani watu huweza kuchati , kutuma emails...
Habari za muda huu wana JF natumai mnaendelea vizuri kama kuna mgonjwa ugua pole, moja kwa moja niende kwenye mada yangu naombeni msaada wenu akaunti yangu ya Facebook imefungiwa bila sababu siku...
naombeni msaada jamani kwa wale wataalamu wa IT, msaada wa kuhack gmail au facebook password/account
naombeni kwani ninahitaji sana account yangu ina matatizo imehackiwa
Habarini za majukumu wakubwa bila kupoteza muda naomba kufahamishwa jambo hili:-
Ninaweza kujifunza ( kufundishwa na mtu) kupiga codi za electronics device bila kwenda chuo?
Nina elimu ya kidato...
Wanaoijua hii simu nahitaji msaada wenu,
Je, ni simu nzuri? nimeifuatilia mtandaoni inaonekana nzuri ila nahitaji wazoefu ambao wamewahi kuitumia kabla sijajilipua kuinunua.
Habari zenu wana jamii
Naomba msaada tafadhali, simu yangu kila meseji ninayoituma hata ikiwa nataka kufowadi namba au meseji ndefu na fupi ina convert to MMS, nimehangaika nimeshindwa nimekuja...
Wadau wataalamu wa Electronics naomba Msaada wenu.
Hapa nina Tv ya LG smart inch 43, binafsi sikuwahii kujua kama haina 3.5mm Jack bali ina DIGITAL AUDIO OPTICAL sasa nimenunua HI-FI ya JVC MX...
Kama unatumia Samsung siku ukishika simu nyingine za Android unatamani urudi Samsung mapema sana.
Nimetumia Oxygen OS ya One Plus, Color OS ya Oppo, MIUI ya Xiaomi na nyinginezo lakini hakuna...
Kama kichwa cha kilivyojieleza Kwa Wale wenye budget ndogo na tunahitaji simu nzuri zenye camera nzuri [emoji2956] kwenye around 340-400 basi unaweza opoa hii chombo
Xiaomi redmi 10c GB 64-128...
Habarini za muda huu,nahitaji gevey card kwa ajili ya i phone 7+ yenye carrier lock,aliyenayo tuwasiliane au anaejua sehemu ninapoweza kupata tuwasiliane.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwezi huu nataka nijipe kalikizo kidogo baada ya kuchoshwa na kazi ngumu za useremala kwa miezi 11 iliyopita, Ni muda wa kuchill atleast
Najua wengi mtakimbilia kuniambia nishushe series kwa...
Ni baada ya akaunti husika kudai Generate Code, kitu ambacho kinanipa wakati mgumu.
Pia napewa option nyingi ili niweze kuingia kwenye akaunti ya Facebook kisha niwe na access ya page yangu.
Kwa...
Hawa jamaa wa Starlink wanasema mwakani wanaingia Tanzania. Gharama zao zipo namna. Kununua ungo na router na cables ni dola 500 hadi 600. Kama wastani wa 1.3 za kitanzania. Lakini lengo ni...
Wakuu salama?
Miezi 3 nyuma nimebadilisha simu na kununua simu mpya ya Samsung S9+.
Kawaida magrupu yangu yote huwa na yawake katika silent mode 'mute'. Ili kuepusha kusumbuliwa na muito wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.