Usijaribu kugoogle vitu hivi kama utajaribu ni juu yako

Dr Count Capone

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
1,878
3,258
-----------IN_FACT------------

USIJARIBU KUGOOGLE VITU HIVI
KAMA UTAJARIBU NI JUU YAKO MAANA NAKUAHIDI GOOGLE WAATAHARIBU KABISA SIKU YAKO

01.TUBGIRL
17458309_281323988956902_3965619592256639520_n.png

Ukigoogle neno hili TUBGIRL utapata kuona picha za msichana mwenye asili ya ASIA akiwa ameinama katika pozi linalostaajabisha ambapo pozi hilo linamuwezesha yeye mwenyewe kuona sehemu zake za siri za nyuma,na inaonekana vitu vya rangi ya orange vinatoka (kama mlipuko wa volkano) kutoka katika sehemu zake za siri za nyuma na kuelekea moja kwa moja mpaka kwenye mdomo wake uliokuwa wazi na kuingia.

02.BME PAIN OLYMPIC
17499034_281327758956525_6322776508428691378_n.png
17522551_281327862289848_7371056363087341211_n.png

Haya ni mashindano yanawahusisha watu kutoka duniani kote,washiriki hutakiwa kujikatili viungo vya miili yao na kujirekodi na kutuma video hizo mtandaoni,yule atakaeonekana kajikatili sana basi huwa mshindi,sasa ukigoogle utaona watu walivyokuwa wana roho mbaya wengine wanazikatili sehemu zao za siri mpaka zinakuwa hazitumiki tena,ANGALIA NAWEWE UWE JUDGE THIS TIME.

03.1 LUNATIC 1 ICE PICK
17554504_281329395623028_2627396030359492965_n.png

Hili ni tukio ambalo kijana mmoja wa kiume ambae ni muuaji LUKA MAGNOTTA anaonekana kwenye video akimuua kijana mwingine kwa kutumia ICE PICK (kifaa chenye ncha kali kinachotumika kuvunjia madonge ya barafu) na kisha kumkata miguu,pia muuaji LUKA MAGNOTTA anaonekana akila nyama ya kijana alieuwawa na nyingine akampa mbwa, akafanya mapenzi na mwili huo mfu,pia video hiyo aliirekodi yeye mwenyewe na kuipost mtandaoni na kuipa jina 1LUNATIC 1ICE PICK,
baada ya muda kijana huyo alipatikana katika internet cafe moja akisoma habari juu yake mwenyewe alikamatwa na kuhukumiwa.

04.3 GUYZ 1 HAMMER
17553995_281332872289347_513720617321019336_n.png
17499110_281332958956005_4501393230267710507_n.png

Mwaka 2009 vijana kutoka UKRAINE walituma video mtandaoni ikiwaonesha wakimpiga mtu kwa nyundo mpaka kufa,kabla ya hii video hilo sio tukio lao la kwanza la mauaji,pia waliua watu 21 kwa nyundo hiyo hiyo moja,na video yao hiyo wameipa jina 3 GUYZ 1 HAMMER.Lakini tabia yao hii tabia yao hii haikuanza moja kwa moja tu kwa kuua watu ila walianza kwa kuua wanyama na baadae wakaanza kuua watu.mwishowe walikamatwa na wawili walikabiliwa na kifungo cha maisha jela na mmoja alihukumiwa miaka 9,polisi wanaamini sababu ya wao kuua walisema ni kupata utajiri wa haraka pia polisi wanaamini vijana hao waliua ikiwa kama ni hobby yao na walirekodi video ikiwa ni kumbukumbu kwao.
KAMA UNA ROHO NYEPESI YA KARATASI USIANGALIE!

05.WAIFU BASICS
17424633_281338168955484_3452385679635790348_n.png

Hii video inaanza kama REALITY TV SHOW inapoonekana msichana wa kijapani akigonga mlango na kufunguliwa na mwanaume ambae tunaona kama ni mpenzi wake,wanaingia ndani na mwanaume huyo anaelekea jikoni kumalizia kupika chakula alichokiandaa ili wale na mpenzie huyo.

chakula kinakuwa tayari na wanakaa vitini kwaajili ya kula,kabla ya kuanza kuenjoy msosi huo msichana anaonekana anasogelea sahani na mpenzi wake kwa kichwa na ghafla anatapika kwenye sahani na mpenzi wake,
kiukweli hapa utategemea mpenzi wake atakerekwa na kitendo hicho kama ambapo wewe ungekerekwa lakini kwa upande wake anaonekana kuwa yupo sawa na tukio lile,(nani anajua,labda mshikaji ni muelewa sana),

kama utaacha kuangalia video hii na ukaondoka basi utaamini hilo,kama utaendelea kuangalia utaona wanaondoka hapo walipokuwa wanakula na kuhamia kwenye kochi ambapo hata hapo msichana huyo anaendelea kutapika lakini wakati huu anatapika usoni na mpaka kwenye mdomo wake uliokuwa wazi wa mpenzi wake.
BAADA YA KUANGALIA HII NNA UHAKIKA KAMA ULIKUWA UNAKULA BASI HUENDA UKAWA UMEPOTEZA HAMU YA KULA GHAFLA!!

#SPONSORED_BY
JSRindustries
CLYZ MOOD facebook page
 
Hii BME pain olympic wanakata dushe zao na shoka na visu.

Wala huwezi nitisha na hivi vipicha, nilijua mtu anaharibikiwa simu kumbe vdeo tu
 
Back
Top Bottom