Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu kama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo juu. Hivi ni kweli kuna application inayoitwa "Psiphon Pro" na huwa inatumika kupata Free Browser Internet? Nasubiri maoni yenu.
1 Reactions
51 Replies
15K Views
Habari zenu wakuu? Kuna hii tabia mtu anaazima simu yako hafu anaingia mtandaoni kuperuzi Mambo yake iwe kubet au kuingia YouTube na kutumia MB zako, Mimi kwangu imekuwa kero naomba msaada nitumie...
1 Reactions
39 Replies
2K Views
Mimi si mwenyeji wa iPhone lakini imenitokea kuna baadhi ya emoji sizioni, kuuliza nimeambiwa nifanye update. Nachotaka kujua, Process ya updating inatumia GB ngapi? Naweza tumia simu nyingine...
0 Reactions
6 Replies
715 Views
Ninamiliki email ya yahoo,ila nilisahau password yake,na email niliyotumia ili inisaidie kurecover email sina acces nayo,pia namba ya sim niliyoweka ili inisaidie kurecover email ilipotea sina...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Vivo Y67 haishiki mtandao vizuri baadhi ya sehemu inashika sehemu zingine haishiki haswa haloteli ndo haishiki kabisa Naombeni msaada nifanyaje.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kamouni inayomilikiwa na Tajiri namba 1 duniani Elon Musk, Neuralink Corp. imesema ndani ya miezi 6 itaanza majaribio teknolojia yake ya kupandikiza 'Neva za Ubongo' kwa binadamu. Neuralink...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwema wadau naomba msaada wa namna ya ku unroot samsung s10 plus
0 Reactions
2 Replies
659 Views
Amani kwenu waungwana, Aisee nilipoteza simu ikiwa na laini ambayo nilikuwa nimeunganisha kwenye e-mail address yangu kwa ajili ya verification. Kwa bahati mbaya wakati najaribu ku-renew ile...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wakuu Naulizia portable power station kama hizi hapa chini za kuanzia watts 300 naweza kuzipata wap hapa bongo. Pia zinauzwa kiasi gani?
0 Reactions
3 Replies
741 Views
Wana jamvii salaam! Moja kwa moja niende kwenye mada, hapa ni TV ambayo ilianguka, ikapasuka kioo cha juu na display pia(kioo cha ndani) sasa je kuna uwezekano wa kupata spare zake kama ilivyo...
0 Reactions
6 Replies
520 Views
Habari na Heri ya Mwaka Mpya 2021! Nimeamua kila nipatapo wasaa kujaribu kusaidia kuelimisha na kushirikisha mawazo wadau mbalimbali juu ya Teknolojia na Biashara, hasa Teknolojia ya Habari na...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari wanajf. Moja kwa.moja kwenye mada, Mimi naomba kujua njia ambazo zinatumika.kudukua mawasiliano ya simu za.mkononi, kwa mfano kwenye social media kama whatsapp. Nimejikuta mtu ana habari...
1 Reactions
29 Replies
13K Views
Mwenye kunielewesha basi usisite Nimepata tv inauzwa na jamaa yangu hapa jirani rakn kwangu bado umeme sijavuta na tv nmeipenda Nmewaza nije niombe ushauri kuhusu kutumia kwa betri kama...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, Naomba msaada na ushauri kuhusiana na hii freezer yangu. Nilinunua mpya dukani hapo Katoro kwenye maduka ya vifaa vya umeme ni kampuni ya Hisense ina ujazo lita 100...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Watu wengi mnatumia kivinjari Cha 𝗖𝗵𝗿𝗼𝗺𝗲, 𝗠𝗼𝘇𝗶𝗹𝗹𝗮, 𝗦𝗮𝗳𝗮𝗿𝗶 kufanya mambo mengi Kwenye simu au kompyuta zetu ila achana nazo kuanzia Sasa !!!! 🤔 Ni wakati wa kuzipiga chini sasa 😀 Yani bila...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
JAMANI NATAKA KUPOKEA ELA KUTOKA NIGERIA NA GHANA NA SIO BANK NIMETAMANI KUTUMIA WORLDREMIT YA VODA NAOMBENI MNIELEKEZE
0 Reactions
9 Replies
910 Views
The way you drive and the condition of your car has an impact on the amount of fuel you use. Here are a few tips to help you save fuel and money. 1. Minimise your vehicle use Vehicles are least...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Asalaam aleykum! Wakuu kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Mnamo mwezi wa tatu mwaka huu 2021 baada ya kutafakari na kujiuliza mambo mengi kuhusu akili yangu na kugundua kwamba...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu hamjambo? Mimi nilikuwa na kaswali kadogo tu je kwa wale mliowahi kutumia simu za mfumo wa Non-Removable battery zinapochoka bater huwa zinabadilishwaje? Changamoto zake zikoje maana simu...
0 Reactions
31 Replies
8K Views
Back
Top Bottom