brainstorm007
Member
- Feb 11, 2022
- 61
- 68
Msaadaa je kioo kikiwa red kwenye simu kina madhara kinahitaji kubadidilishwa au unaweza tumia tu maana kioo cha cmu yangu kwenye sehemu nyeupe kina kuwa kama pink lakin kwenye video inaonyesha vizuri kama kawaida je tatizo hili huja kuzidi na nini kinasababisha.