Free it support

Free it support

Kapotea

Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
31
Reaction score
91
Mimi kapotea....! Kutokana na kupenda changamoto mpya nipo tayari kukusaidia ukiwa na shida yoyote ya IT.

Aina ya support nayo toa ni free na remote Kama itakuwa shida ya hardware nitakushuri umuone technician aliyekaribu nawe Ila ukiwa na matatizo yafuatayo itabidi kidogo tusaidiane ya maji:

1. WINDOWS PASSWORD REMOVAL
- hii Ni kwa watumiaji wa 7/8/10/11 kwa personal computer uhakika 100% hupotezi data hata Moja Ila kwa zile ambazo zipo kwenye domain itategemea na aina ya domain Kuna nyingine mpaka uingie kwenye data za user ufanye kazi kweli kweli

2. LINUX REDHAT ROOT PASSWORD RESET
-ni kwa watumiaji wa REDHAT 7/8/9/
hizi zinahitaji downtime kwa sabab tutahitaji ku reboot system.

2. DATA BACKUP, RECOVERY, CLONING
-windows imecorrupt, raw partition, flash drive unahitaji data utazipata.

3. HIDDEN PARTITION
- hapa nakutengenezea window partition ni wewe peke yako utaweza kuifungua ni script ambayo nim add layer baadhi za security ni nzuri kwa faragha pia itakuwa encryption hata Kama mtu akiiba akichukua disk kazi Bure.

Note: natoa msaada na ushauri wa ki IT BURE kwa wale watu wanao run small business na huna IT nitakusaidia Bure bila pesa isipokuwa kwa hayo niliyo orodhesha na pia sio ume install game au kitu gani Cha kujifurahisha utanisamehe Ndugu yangu.

PM Iko wazi kwa wahitaji

Samahani kwa uandishi mbovu ni Mimi wako mtiifu kapotea
 
Back
Top Bottom