Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Fahamu sifa ya Infinix NOTE 12 VIP Kampuni ya Infinix imetoa toleo jipya la simu kwa mara ya kwanza yenye watts 120 !! tarehe 16 may 2022 , kampuni ya Infinix ilizindua matoleo matatu ya mfululizo...
2 Reactions
38 Replies
6K Views
Habari wakuu, nina samsung A02 kwasasa ina mwaka 1 na miezi 4 toka niinunue dukan, na ilikuwa na warrant ya miaka 2 ila warrant card nimeipoteza Sasa hii simu hivi sasa ni week kila nikiitumia...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakuu kwema? Kwavile fiber bado ni changamoto maeneo ya Makongo Juu naomba ushauri wenu kuhusu kampuni bora ya unlimited home Internet. Matumizi yangu ni: Home office (working from home) nina...
2 Reactions
43 Replies
6K Views
Nataka kununua taa hii ila sina uzoefu juu ya utendaji kazi wake au uimara wake,naomba anaejua ansaidie[emoji120]
1 Reactions
7 Replies
813 Views
Wadau kipi nakosea hapa.... Mbona kila nikisearch domain inaleta hivyo
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Waandishi wa Habari wa #NewYorkTimes, #CNN na #WashingtonPost ni kati ya waliofungiwa akaunti zao na mtandao huo kwa madai ya kuonesha #TaarifaBinafsi za watumiaji ikiwemo Anwani za Makazi...
0 Reactions
0 Replies
704 Views
Ni muda Sana nimecheza Hilo game nakumbuka ilikuwa ps 2 hiv kwenye simu naweza pata offline mode hata kama ni cranked lakin sio kwenye mfumo ISO zile game za psp simulation Wajuzi wa hizi mambo...
1 Reactions
6 Replies
703 Views
Kampuni hiyo inayomiliki mtandao wa Facebook wanadaiwa kuwa majukwaa yao yalichangia kuongeza chuki na vurugu wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe. Abrham Meareg, mtoto wa mwanazuoni aliyeuawa...
0 Reactions
5 Replies
951 Views
Januari 9, 2007 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Apple, Steve Jobs alitangaza kuzinduliwa kwa simu ya iPhone, simu iliyokuwa na iPod, kamera na uwezo wa kutumia intaneti, kati ya vingine vingi. Tangu...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Wakongwe habari zenu natumaini mko salama kabisa, na jumapili yenu inakwenda vizuri Mimi swali langu ni hili ninataka kufungua kampuni ya ICT ijikite kwenye Software Development, ila sasa kama...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Wadau msaada unahitajika, kuna web fulani nikiingia inakuja msg yenye ujumbe unaosema you have not unlocked your ad blocker, you will be disconnected in 5 seconds. Naambatanisha picha. Jee...
0 Reactions
6 Replies
683 Views
Kampuni ya Microsoft imetangaza leo mipango ya kuleta huduma za intaneti kupitia satelaiti kwa watu milioni 10, nusu yao wakiwa barani Afrika, kama sehemu ya juhudi za kuziba pengo la kidijitali...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Wadau nauliza hivi, nahitaji kuwa natuma sms za matukio ya Kanisa kwa washiriki kama 500 hivi je hii kitu ina gharama zingine tofauti na kifurushi changu cha sms? Lakini pia nataka nikituma sms...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakuu mambo vipi nina shida kidogo na mtu ambaye yupo vizuri kwenye maswala ya cyber security na pia ana uzoefu kidogo nataka tulizungmzie anisaidie kiasi.
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kama kichwa cha chapisho kinavyojieleza nina samsung a12 nimevuruga patten nahitaji kui hardreset but inakataa kila nikijaribu naombeni msaada hata wa program kama ipo
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Teknolojia kila siku inazidi kuwa kubwa kwenye nyanja mbalimbali. mifumo ya virusi katika kompyuta ilitegemea sana kuathili sehemu inapotunzia OS na hard disk sababu ndizo zilibeba vitu vingi vya...
2 Reactions
1 Replies
736 Views
Hatimaye Umoja wa nchi za ulaya (EU) umeafikiana makubaliano ya kutumia Usb chaji aina moja kupitia simu zote zitakazotengenezwa mwaka 2024. Mpango huu unahusu vifaa vyote vya kieletroniki kuanzia...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamaniiiii eh Nina plan ya kuanzisha usafiri mtandaoni ambapo kutakuwa na App ambayo mteja ataingia na kuchagua au kupata dereva. Mfano kama wanavyo fanya ping Utaratibu huwa upoje
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom