Naomba msaada; modem ya voda inakataa kwa laptop yangu hadi nimelazimika kununua ya airtel, natumia windows 7, je hiyo inawea kuwa sababu? Nifanyeje wakuu?
Heshima wakuu,
Tangu jana usiku nimehangaika sana kutumia JF kwenye simu yangu, Nimepost thread ya kwanza then baada ya kutoka kwenye Internet nilipotaka kurudi tena sehemu ya home page hakukuwa...
Jamani wanaJF naombeni msaada wenu kwa anayefahamu wapi zinapatikana dish za ku-band za ukubwa wa cm 120 na gharama yake ni kati ya sh ngapi maana nilizunguka maduka yote mwanza lakini sikufanikiwa!
Habari zenu jamani natumai hamjambo!
Pleasee nisaidieni jinsi ya kufanya istallation ya window server 2003 na pia nataka kujua kama inawezekana kuistall window server 2003 kwenye machinw yenye...
Habari wana Jf, naombeni mawazo kidogo kuhusu yaliyonikuta, nimekutana na kimeo leo kimenitoa jasho, Window 7 home premium nimeistall Avast free antivirus 6.0.1000.0 inakataa kuregister ukiclick...
Naomba msaada wanajamvi. Nina laptop yangu inatumia Windows 7. Inanipa warning kuwa Windows Security Centre will not start. Nimejaribu ku configure na kujaribu i start tena automatically lakini...
jaman nilikuwa naomba msaaada wa software ya ku unlock memory card !! maana nina nokia yangu e71 ambayo nime i update xema kumbe memory yake ilikuwa na key xo now inashindwa kusoma !! msaada tafadhali
Jamani naomba kujulishwa maneno yafuatayo Operamini for Symbian na Operamini mobile for Symbian maana nataka kudownloud kati ya hizo ,maana ipo yenye 6,11,4.3,5.1 sasa nashindwa hata kuchagua...
Habari wa JF!
Nimenunua bundle vodacom then kabla sijaitumia inaniambia kitu kama hiki;`Your Ad-hoc Data Bundle Service Type has been migrated to MyMeg 50 Bolt-on Prepaid Data Bundle.`
Na hapo...
Wakuu nawatu wa tenolojia
Hii site http://teknohama.x10.mx/ imekaaaje ? ina tatizo gani ?nirekebishe kitu gani
Dhumuni niku tengenza blog yenye ladha ya kiwebsite. yaani nusu blog nusu...
Hodi jamvini wana JF, naomba mnijulishe iwapo naweza kutumia tv card kwa laptop yangu na kwa namna gani, nahitaji program gani kwa computer? Iwapo its possible, naweza ipata wapi kwa bei poa but...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.