hard drive problems

Smarty

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
776
426
habari zenu wanajanvini! hard disk yangu nikiichomeka kwenye computer inaniambia 'your hard disk need you to format before using it" mara ya mwisho nilliweka kwenye computer ya jamaa yangu kuchukua mafail flani. kimsingi sitaki kuiormat maaana kuna data zangu za muhimu sana, mwenye kufaham jinsi ya kuifungua bila kuformat naomba anisaidie tafadhali.
 
angalia unapoweka inaandikaje? NTFS au FAT32? Namaanisha file system yake, kama inaandika RAW hapo jiandae kufanya recovery ya data kwa kutumia software maalumu maana haiwezi kufunguka tena. kuna post humu zina links ambayo unaweza download data recovery software. jaribu ku search
 
thanx mkuu! ngoja nijaribu hizo software maana hata kuformat inagoma inasema your HD is a read only ca not be formated.
 
Ulipo weka kwa mshikaji wako uliondoka na virus waliokula boot sector, but what I know is ukiirudisha kwa mshikaji au ukiifunga kwenye computer nyingine kama slave unaweza kuondoa data zako then uiformat
 
habari zenu wanajanvini! hard disk yangu nikiichomeka kwenye computer inaniambia 'your hard disk need you to format before using it" mara ya mwisho nilliweka kwenye computer ya jamaa yangu kuchukua mafail flani. kimsingi sitaki kuiormat maaana kuna data zangu za muhimu sana, mwenye kufaham jinsi ya kuifungua bila kuformat naomba anisaidie tafadhali.

Unamaanisha external USB Hard disk au ni Hard disk ya SATA au IDE.. Can u tell us ni brand na Model gani . may be we can help to google kujua kama ni tatizo common kwa brand hiyo na nini solution yake ?

Vile vile wengi wata assume unatumia windows na hizi eeros zote ni za windows . Right?

Ulipo weka kwa mshikaji wako uliondoka na virus waliokula boot sector, but what I know is ukiirudisha kwa mshikaji au ukiifunga kwenye computer nyingine kama slave unaweza kuondoa data zako then uiformat

What if ni external Hard disk?
 
asante mkuu! namejaribu options zote kama ulivosema naona tatizo lipo pale pale! ila hata nikiamua kuformat ina niambia the disk is read only.
 
Unamaanisha external USB Hard disk au ni Hard disk ya SATA au IDE.. Can u tell us ni brand na Model gani . may be we can help to google kujua kama ni tatizo common kwa brand hiyo na nini solution yake ?

Vile vile wengi wata assume unatumia windows na hizi eeros zote ni za windows . Right?
What if ni external Hard disk?
mi natumia windows 7, afu hii niliyonayo ni external hard disc. inaitwa element ( WD)
 
Assuming unatumia windows na ni tatizo la external Hard drive

inawezekana driver zake zikawa zimecrrupt kwenye computer yako. Confirm hili kwa ku right click My computer chagua Manage then chagua device Manager then maximize Disk drive. Angalia kama unaona majina jina la hizo hard disk yako mbili ya computer na ya external.

Kimsingi unatakiwa uone jina la Computer hard diks na external hard disk. bila kuwa na alama yeyote ya njano.

Nadhani ndio maana hata format inagoma OS imeidetect drive lakini haina drivers zake sahihi.

Au jaribu kuipeleka hiyo HDD kwenye computer nyingine na kuifungua.
 
irudishe kwa mshkaji wako..then do safe remove....ikishindikana hivyo tafuta linux version(ubuntu) bootable dvd au cd then ianzishe coputer kwa kutumia hiyo dvd, hapa utaweza kuaccess data zako za kwenye hiyo external yako, copy data zako somwhere then iformat kuanzia hapo....aukama bado external yako ina warrant basi peleka kwa agency watakusaidia.......
 
nashkuru sana mkuu! ngoja niisake obuntu. vilevile bado ina warantee
 
mkuu mi naona bora uzicopy hizo data zako kwa kutumia linux(ubuntu/any version) then ndio urudi ku-format kwenye window yako,na hapo kama ulivyosema ku-format inagoma wewe fanya hizi procedure then itakubali,chomeka external hard disk yako then nenda kwenye command halafu run as administrator,then do the following commands

DISKPART

LIST DISK

SELECT DISK 1

CLEAN

CREATE PARTITION PRIMARY

SELECT PARTITION 1

ACTIVE

FORMAT FS=NTFS

ASSIGN

EXIT

Jinsi utakavyo-type command ya kwanza ndivyo utaendelea na huo mtiririko,make sure hujaplug storage yoyote ili isikuchanganye kwenye list disk na select disk.
 
Back
Top Bottom