Msaada Anti virus

Alison Mremi

Member
Mar 30, 2011
21
4
Mkubwa kuna jamaa kanunua CD yake ya anti virus kaspersky 2010 na ina key zake! Je akishai2mia kwenye computer yake,je na mm ntaweza ku2mia CD hyo hyo na key zile zile ku-install kwenye computer yangu? Au itanibidi niwe na key nyingne? Na kma itanibidi niwe na key nyingne ntazipataje? Nisaidie coz mimi ni mgeni wa mambo haya!!....
 
ila kama keys za 2011 zimeshatoka utazitafuta hizo za 2011 nadhazi zipo hapa jamvini ziliishawekwa tafuta tu hiyo thread utaipata hapa jf
Mkubwa kuna jamaa kanunua CD yake ya anti virus kaspersky 2010 na ina key zake! Je akishai2mia kwenye computer yake,je na mm ntaweza ku2mia CD hyo hyo na key zile zile ku-install kwenye computer yangu? Au itanibidi niwe na key nyingne? Na kma itanibidi niwe na key nyingne ntazipataje? Nisaidie coz mimi ni mgeni wa mambo haya!!....
 
Itategemea hiyo Kaspersky ni ya single user au 3 - 5 users, kama ni ya single user (computer moja) mwenzako akishainstall na kufanya update na wewe ukaja kuinstall, itakubali ila ukija kufanya updates itakataa, itakwambia "Licence has been used by another computer" ila kama utatumia mtandao tofauti it sometimes works (i.e kama yeye alitumia moderm ya voda, we ukatumia Tigo ku update inaweza kufanya kazi)
 
Kilimasera.... Nakumbuka wakati jamaa huyo anafanya installation hyo ilifika sehemu akaingiza email address yake afu akai2ma ndo ikaendlea kufanya installation! Nkamuuliza mbona ume2ma hyo address? Akasema kuw alinunua Orijino CD hvyo ni lazima a-post hyo anwan ili wamiliki wa hyo anti virus wamjue mtumiaji wa anti virus hiyo! Niliikopi CD hyo Orijino kwenye CD yangu lakini nilipo-install wakani-request niingize key ila ckuziingiza zile key coz nilijua tayar zisha2mika! Kumbe zitakubali! Alaa! Je nkishafanikiw kuinstall kutakuw na haja ya ku-update au ndo ntakuw nshamaliza mchezo!
 
Kwel bana coz nakumbuka ilikuw inaleta mambo hayo hayo ya leseni! Nitajaribu ku2mia modem tofauti coz yeye ali2mia ya zain! Je niki2mia ya zantel itanibidi nichukue bundle la saizi gani ili isije kukata kabla haijamaliza ku update?
 
jaribu kwanza ikigoma si una uninstall tu wala hata sio kazi sana mkuu
Kilimasera.... Nakumbuka wakati jamaa huyo anafanya installation hyo ilifika sehemu akaingiza email address yake afu akai2ma ndo ikaendlea kufanya installation! Nkamuuliza mbona ume2ma hyo address? Akasema kuw alinunua Orijino CD hvyo ni lazima a-post hyo anwan ili wamiliki wa hyo anti virus wamjue mtumiaji wa anti virus hiyo! Niliikopi CD hyo Orijino kwenye CD yangu lakini nilipo-install wakani-request niingize key ila ckuziingiza zile key coz nilijua tayar zisha2mika! Kumbe zitakubali! Alaa! Je nkishafanikiw kuinstall kutakuw na haja ya ku-update au ndo ntakuw nshamaliza mchezo!
 
Inategemea ni how many users? kama ni one user sahau na kama ni multiple users sawa tu! Nadhani nimelielewa swali!
 
Kwel bana coz nakumbuka ilikuw inaleta mambo hayo hayo ya leseni! Nitajaribu ku2mia modem tofauti coz yeye ali2mia ya zain! Je niki2mia ya zantel itanibidi nichukue bundle la saizi gani ili isije kukata kabla haijamaliza ku update?

unahitaji kuwa connected muda ule tu wa kuactivate, after that basi, unaweza usiupdate na utakuwa protected ila akitokea Virus mpya, umekwisha coz Antivirus yako haitamtambua
 
Back
Top Bottom