Kutumia simu kama Modem | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutumia simu kama Modem

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mupirocin, Apr 7, 2011.

 1. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Wanajamii, habarini za usiku bila shaka muwazima. Nakumbuka siku kadhaa zilizopita niliwaomba mnisaidie namna ya kutumia simu kama Modem, nawashukuruni wote mlionisaidia na kunipa maelekezo kwani nilidownload Nokia pc swit na kuinstall kwenye pc yangu na sasa natumia internet mwendo mdundo, kuna mwanajamii alishauri kuwa kutumia simu kama modem ni kuzuri ila naua simu, ushauri huu nauchukulia kwa makini pia. Kusema ukweli Jf ainanifundisha vitu vingi hata ambavyo sikutarajia kujifunza. Niliwapigia vodacom waliniambia simu yangu haiwezi kutumia internet. Ni kweli kama baadhi ya wana JF walivyosema costomer services waliowengi wanakaa mahali ambapo hata info. hawana kuhusiana na kile wanacho kitolea service. Nawshukuruni sana na Mungu awabariki sana.
   
 2. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #2
  Apr 7, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  sawa kabisa usemayo ni ukwel tupu!Hakuna kama JF nje na ndani ya bongo!wataalamu wa JF Hawana ule USHAMBA wa kubania tekinolojia.
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Apr 7, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Sio kweli kuwa unaua simu, tumia tu bila wasiwasi.
   
 4. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #4
  Apr 7, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Asante mkuu
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Apr 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hongera, pia unaweza nunua bundle ya internet ya tigo ukazidi kuenjoy.
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Sio kuuua simu ni kufupisha life span ya battery. Battery za simu uhai wake unakwenda per XXXX number of charges. Sasa ukitumia simu kama modem kwa muda mrefu means battery usage ya simu inakuwa kubwa.

  Na unajua inapokuja suala la kureplace batter. Battery za spare quality yake mnaijua..........

  Kama ni kutumia net kwa masaa kadhaa kila siku bora atafute modem tu. But kama ma ni dk 15 min au 1hr kila siku may be ni sawa.

  Ni ushauri tu I stand to be corrected
   
 7. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Senksi wakuu, ila mimi nimetafuta Programu ya simu yangu nimekosa kabisa. Ni SAMSUNG c5212 Duos...
   
 8. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #8
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mimi natumia simu kam amodem sasa ni mwaka wa 4 na simu ni hiyo hiyo sijawahi kuibadilisha na kuhusu suala la betri kwa kawaida ya kwangu lazima niicharge kila siku
  lakini kuhusu suala la kufa sijui na mimi natumia kama saa 4 na kuendelea kila siku
   
 9. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Chomeka charger, 3G inakula battery sana bila charger sio rahisi. Au kama simu inacharge kwa kutumia USB basi unakua inacharge from PC straight.
   
 10. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Sio kila simu inasupport kutumika hivi (Tethering) baadhi ya simu hazina uwezo huu na nyengine zinafungwa makusudi uwezo huu e.g iPhone na Windows Phone. So ni muhimu kuchunguza kwanza kama simu itasupport hii function.

  Samsung wana software 3 za PC kutegemea na Simu yako
  Kies
  PC studio
  New PC studio

  What's new for Software & Manual SAMSUNG

  Kujua utumie software ipi nenda Downloads SAMSUNG

  Click mobile phone kisha chagua hadi upate yako, kutakuwa na sehemu ya downloads itakuambia Software ipi unaweza kutumia, uwezo wa kutumia hii software haimaanishi kuwa itaweza kufanya tethering maana hii software pia inafanya vitu kama kuhamisha picha, ringtones etc.

  Pia kuna software ambazo sio official kama mimi nina Android ya Samsung ambayo haiwezi tethering kwa kutumia software ya Samsung ila kuna Apps unaweza kuinstall inaruhusu tethering.

  So fanya research yako mwenyewe kabla ya kununua.
  Kwa uchunguzi wangu hiyo simu haiwezi kutumika hivyo.

  Same deal for Nokia,Motorola etc. sio kila simu inaweza.
   
 11. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #11
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,217
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Sure wakuu,
  Michango yenu ni ya msingi sana. Mie nilikuwa natumia Samsung PC studio kwa muda mrefu kwa kunganisha simu na PC, lakini baadaye nikabadili kwa kuanza kutumia Nokia. Huwa nanunua zile daily au weekly bundles za simu, then napata mtandao wa simu ktk PC kama kawa. Lakini pia huwa natumia modem kama kujilinda, kwa maana ya kwamba iwapo kunakuwa na shida ktk simu basi natumia mtandao kutoka ktk modem.
   
 12. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #12
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  sasa mkuu hapo nilipokoleza rangi pananichanganya kigodo, kama battery haijafa kwanini unacharge kila siku?
   
 13. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #13
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  yaani wakati natumia net lazima niwe naicharge ndio maana nikasema naicharge kila simu,lakini kama sijatumia net nakaa nayo kwa muda wa 3day.
   
 14. mazd

  mazd Senior Member

  #14
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  @ALL
  Tunaposema kutumia simu kama modem au modem yenyewe (USB modem au something else), tunamaanisha kua data zote zinazokuja katika PC yako lazima zipite katika hiyo device (Modem) katika data hizo wamo virus wa PC na Mobile na wengineo, so hapo ndio tunasema simu inakufa kwa njia nyengine, ukiachana na ile ya betri. Usichukulie wewe pekeyako umetumia kwa muda gani simu haijafa, kwani hata wavuta sigara waliokuwa hawajaona madhara wapo na wanavuta toka 50 years iliopita.So tumia modem kama unaipenda simu yako, kwani modem ina ROM (Read Only Memory) yani virus hawezi kujiandika----ingawa inawezekana kuandika katika ROM ila hadi kwa maujuzi fulani ambayo virus ni vigumu kufanya.
   
 15. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #15
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kuna ishu moja kama ni hvyo mbna wao nokia wanakuambia unaweza ku2mia kam modem ina maana wao walikuwa hawajui hilo tatizo la virus naomba unieleweshe kdgo mkuu
   
 16. mazd

  mazd Senior Member

  #16
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  @ndetichia
  Hata kama wanajua ila jua kua hao ni wafanya biashara kama walivyo wafanya biasha wengine, jiulize--Kwani hawajui kua REDIO, 3G, na Video comcoder vinaua betri?--si wameweka?--hapo umezibwa macho wewe ili uone simu yako ina mambo mengi---kama wanavyosema wenyewe kua SIMU aina hizo wanatengeza kakiwa target yao kubwa ni vijana coz ndio wanaopenda hata choo kama inawezekana wawekewe katika SIMU.

  That was my advice not command
  HAVE A GOOD DAY..
   
Loading...