Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Katika suala zima la mawasiliano hasa bila kutumia nyaya(yani wireless communication) tuna aina mbila za toplogy, ya kwanza uitwa Ad-Hoc Network topology na aina ya pili uitwa infrastructure...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Amani kwenu wadau! Naomba msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia nkapata information ya sehemu nikaatend short course ktk graphic design. sehemu yoyote dar! thanks!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wandugu wooote salaam sana. Ninauliza kama kuna mtu mwenye software ya Hotel managment yenye uwezo wa kuprint service voucher/invoice/ cash in/out etc.???
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Niliangalia kwenye orodha ya simu zilizoorodheshwa aina ya simu yangu haikuwepo nifanyeje? Aina ya simu ninayotumia ni nokia 5130 express music
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mambo vp wanataaluma,naombeni msaada kwa anayejua security code za nokia 2690,nimejaribu zile za kawaida 1234 na 0000,lakini sikuambulia kitu,ila nikiweka line ya voda ni fresh kabisa haitaji...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
kwa wadau wa IT hiyo ndo report ya mambo yanavyokwenda duniani.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
World Backup Day 2011 - March 31st Backup your data!!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani wataalam naomba nisaidiwe key za BPM
0 Reactions
1 Replies
1K Views
A University of Western Ontario researcher seeking to determine the genetic sequencing of schizophrenia has observed that even identical twins are not exactly alike at the genetic level. The...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Dunia imegundulikuwa kuwa si duara bali ni kama kiazi. katika umbo jipya linaloonesha ukanda wenye mgandamizo mkubwa wa nguvu za uvutano na mdogo(Gravitational force). Tanzania tupo ukanda wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
PICHA HII IMEPIGWAJE???? KAMA KUNA MTAALAM HEBU ATUJUZE NIMEIKUTA MAHALI FULANI NIKAIPENDA
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Napenda sana kusoma kitabu cha mzee wetu Nelson Mandela kiitwacho Longa Walk to Freedom, nakipataje
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina camera digital aina ya casio exilim EX-Z16 yenye 12.1 megapixel na zoom ya 3x niliyoinunua mienzi mitano iliyopita huko Spain ambayo imekuwa na matatizo yafuatayo; Sijawahi kuidondosha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kufahamu mambo kadhaa kuhusu mkongo wa Taifa: 1. Je umekamilika? 2. Je tumeshaanza kuutumia? Kama jibu ni ndiyo, mbona basi speed ya internet iko vilevile kama zamani na mbona bei...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Waungwana naomba msaada wa jinsi ya kutumia simu yangu Nokia N95 Nsiries kama mordem. Computer yangu ni aina ya Compaq yenye window Xp professional. Msaada tafwaaadhali.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuanzia leo nitakua hapa kama muwakilishi wa kujitolea wa airtel so kama una tatizo lolote kuhusiana na line yako,na matumizi ya mtandao wa airtel kwa ujumla tafadhali jiskie HURU...i'M HERE FOR YOU
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Kutoka majuu Microsoft Files Antitrust Complint Vs Google Once the focus of antitrust complaints itself, Microsoft sets its targets on Google The tables -- or in...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina cm ya Nokia 2690 natumia line ya vodacom. Nataka kuitumia kama moderm kwenye pc yangu. Naomben msaada wanajamii nifanyeje. Natarajia mtanisadia
0 Reactions
10 Replies
3K Views
msaada tafadhali natanguliza shukrani nina tv yangu aina ya Ferguson F2620LVD 26in LCD TV lakin kila niki play video kwenye ile screen naoan picture motion ina chelewa ku respond...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TAKE THIS:panda: Ilo tatizo nilikuwa nalo lakini liziinstall kwa kutumia copyuta huwa zinapatikana kwenye SETTINGS-SECURITY -certifaicates kwanza unabidi huwe na 1. nokia pc suite 2.usb cable/pc...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom