ninnaweza kusikilizana na nilinayo iphone 3G. imeacha ku "ring} simu ikiingia. mimi nikipiga naweza kuzungumza na niliye mpigia. naomba msaada ya jinsi ya ku "re-set" iweze ku ring kwa simu zinazoingia. nimejaribu hata kwenda kwenye "original setting" lakin wapi.
macinkus
macinkus