Help plz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Help plz

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by donlucchese, Apr 9, 2011.

 1. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,397
  Likes Received: 3,526
  Trophy Points: 280
  Wakuu salama? Naomba msaada kwa wale wataalam wakuchakachua DSTV,mshua amegoma kabisa kulipia siku hizi ndomana nataka nifanye makaratee. Naomba uni PM ili hawa jamaa wasitusanukie. Shukran wakuu
   
 2. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Kwanza tumia wiki moja au mbili kutafuta Nondo za kujua na uelewe satelite system na inavyofanya kazi. Ukielewa ndo utajua ugumu na urahisi wa jambo unalotaka kufanya na hutalifanya kibabaishaji.
  Mfano Satellite TV Basics
  HowStuffWorks "Introduction to How Satellite TV Works"

  Then ukimaliza tafuta nondo za Televison channel encryption na scrambling na jinsi ya kufanya unscrumbling. Na types of satelited cards. Hiki hasa ndo unataka .

  Mwisho wa siku unaweza usifanikiwe au ukafanikiwa kupata channel za free tu ambazo hupati sasa.but cha muhimu utakuwa umeelimika.
   
Loading...