Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari ndugu! Kama kuna mtu ana jua namna ya kupata free download ya PDF AU ADOBE READER FOR MOBILE PHONE Naomba maelekezo.Simu yangu ni Orignal NOKIA 2700 CLASSIC, Nashindwa kusoma files...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba mwenye program ya printshop anitumie jamani
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Naombeni msaada wa key ya imtalk, niliiweka kwenye simu yangu kwa ajili ya kutumia skype sasa imeisha muda wake
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wana Jf ,je ni kweli computer ni hundred percent digital au asilima nyingine ni analog?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nime fanikiwa ku download karspaskery ya 2011 lakini sina code zake plz kama kuna mtu mwenye genuine activeting codes naomba msaada tafadhari wakuu.[
0 Reactions
11 Replies
2K Views
vs Mozilla imeshaachia Firefox 4, na chini ya nusu siku imeshakuwa downloaded mara mbili ya IE9(Internet Explorer 9) ambayo Microsoft walijisifu sana. Sasa hivi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani wanasema kuuliza si ujinga neno PM huwa naliona lakini nimeshindwa kujua maana yake ninini wengine wanasema hebu ni PM kwa nia ya kutumiwa kitu fulani mie nimeshindwa kwa vile sijui maana...
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Hello collegues, please can u help me with my PC? My Computer is so slow to operate, can you help me what are the problems and what are solutions
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu. Nina tatizo laptop {Notbuk} yangu aina ya Accer eMachines model eM350 nikicharge ikifika 87% haiendelei tena kuingia charge hata kama nitaiacha kwenye charger kwa masaa 3 au...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello JF, I have a technical issue here that I would like your inputs. I have an internet cafe where I want to set up one CPU to be used by two monitors but independently. I understand about the...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
waungwana maelezo ya hapo juu yanajitosheleza, nina nero 8 na 10. na boot image ninayo pamoja na installation files zote ninazo. msaada tafadhali.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ninatumia modem ya voda kwa mitandao yote lakini kutokana na matangazo ya airtel kuwa leo ijumaa hadi jumapili internet ni bure kwangu imekuwa sio hivyo jamaa wanakula hela tu sijui kwa wenzangu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
mamlaka ya mawasiliano imepitisha usajili wa simu( laini pamoja na simu yenyewe IMEI number) ambayo baadae itawezesha pia kuzuia matumizi ya simu ambazo zimeibwa. je kuna usajili wa aina hiyo wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa muda wa miezi kama minne sasa nimekuwa natumia win 7 kutoka win xp. Natafuta win xp nirudie jembe langu, maana hii win 7 inamadoido na mbwembwe nyingi lakini kwangu naiona nyanya sana, toka...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwenye link anisaidie. nikijaribu napata za 1.8GB au 800MB ambazo kwa modrem zetu za kibongo unaweza kutumia siku mbili asante
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau, Nahitaji TV series za "It Might be You pamoja na Timeless" Hizi series ziwahi kuonyeshwa na Star TV wakati fulani..... Naomba yule anayejua website nipoweza kuzidownload hizi au Mahali...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natumia Dell laptop Latitude D510, window XP 2007, nilikuwa natumia Mozilla Firefox kubrowse mitandao. Speed yake ni nzuri na nili-ifurahia. Kizaa zaa kilikuja baada ya ku-install VLC media...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kwa wale waliokuwa wanahitaji frequency za TBC 2 hizi hapa Intelsat 802ku-32.9 TBC1-11691-4000. TBC2-11178-3671
0 Reactions
32 Replies
19K Views
I run the F45-AV412. I need to slipstream SATA AHCI Controller driver into WXP cd. How do I find out the make and model of my motherboard so I can search and download its AHCI driver? I can't use...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wazee Uchakachuaji wa Star times Uko vipi?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom