heeeeelp!

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
293
jamani wana jf,kuna watu wananilalamikia kuwa wananitumia sms kwa no.yangu ya voda,simu zao zinaonesha kuwa message delivered,lakini mm sizipati,tatizo litakuwa ni nini?
 
Onana na provider wako, ili wakufanyie setup ili uweze kupata hizo mssg.
 
Tatizo litakuwa simu, usikute zikiingia kuna sehemu zinakula pozi.
 
kwa baadhi ya simu kama samsung b5722 unaweza block msg zisije ila kwa yule anayetuma anaambiwa delivered. huenda kuna mahali umechange bila kugundua au kama umenunua mkononi huenda pia mtumiaji wa kwanza ali-enable hiyo feature
 
nilinunua mpya,ni nokia e71,kinachonishangaza ni kuwa,wakati mwingine napata sms,wakati mwingine ndo napata habari tu kuwa nilitumiwa sms
 
Yes!
Inawezekana mhusika aliwaweka hao watuma SMS katika ignore list, kiasi kwamba ujumbe wao ukifika katika hiyo simu yake unakuwa deleted immediately! Au kama vipi unaweza kukuta uli-tamper na msg settings, hii na yenyewe inaweza kuwa sababu. Utatuzi ni kwamba angalia kwenye SMS settings kama kuna sehemu haiko sawa, kuhus nani wa kukutumia sms na nani wa kutokukutumia sms.
 
nilinunua mpya,ni nokia e71,kinachonishangaza ni kuwa,wakati mwingine napata sms,wakati mwingine ndo napata habari tu kuwa nilitumiwa sms

Angalia message centre number yako iko sawa, kwa voda message centre number ni +25575114. Kuset centre number kwa baazi ya nokia ni:
menu > message > message settings > sending prifile > SMSC - vodacom > message centre number > +25575114
 
Mwana hilo ni tatizo kubwa kwa simu za Nseries kwenda juu (2rd, 3rd and 5th symbian OS) la kufanaya ni kusima simu yako then toa line then itie tena,tia charger then washa ikiwa inaingia charge....NOTE:hakikisha unawasha kwa mtindohuo au peleka kwa fundi aifanyie master reset .(*#7370# but am not sure )
 
Maybe messages zako zitakuwa zinaingia kwenye "screened messages" angalia menu hyo kwenye simu yako upande wa message!
 
bt kwa case ya screened msg or spambox asingepata baadh na akose nyngne, even ya msg centre # cdhan kama n tatzo kwa maelezo yake hapo itakuwa ni masuala ya nseries n abv related prblmz
 
bt kwa case ya screened msg or spambox asingepata baadh na akose nyngne, even ya msg centre # cdhan kama n tatzo kwa maelezo yake hapo itakuwa ni masuala ya nseries n abv related prblmz

how can i solve kaka?
 
bt kwa case ya screened msg or spambox asingepata baadh na akose nyngne, even ya msg centre # cdhan kama n tatzo kwa maelezo yake hapo itakuwa ni masuala ya nseries n abv related prblmz

mkuu kama amemelist no kwenye screened zile alizoorodhesha azitaonekana lakini zingine zitaonekana jaribu kufanya factory setting or *#7370# or jaribu kuangalia nilishawahi kutoa nokia code hapa so jaribu kuangalia uzitumie
 
Code ndio hizo number tulizo list hapo juu---ila jua kua Master reset inafuta kila kitu na kuirejesha SIMU kama ilivyokua toka kiwandani--So make Backup of your contacts and Memory Card contents.
 
Back
Top Bottom