Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

WanaJF wote heshima yenu wakuu naombeni kuuliza symbian na iphone ni simu za aina gani hizo?
0 Reactions
3 Replies
8K Views
habari zenu bana niaje wadau wa jf...naomba msaada wenu wadau nina ipod ya 1Gb kila nikiweka nyimbo inaktaa afu imeblock nikirestore inakuwa poa ila nikiweka 2 nyimb aimalizi ku syclonise...
0 Reactions
2 Replies
972 Views
Nimeibamba hii habari mtandaoni leo, kwa wenye habari mutanisamehe kwa kurudia.Hatua njema anwani yake ni http://www.tbc.go.tz For ICT news,lessons,knowledge... Tembelea ICT KIjiji
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Kila napojaribu ku-shutdown ina hang sijui nianzie wapi......mwenye clues anisaidie mawazo.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
nina tv yangu aina ya Ferguson F2620LVD 26in LCD TV lakin kila niki play video kwenye ile screen naoan picture motion ina chelewa ku respond yaani sauti ina sikika fresh xema motion ya picture...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Computer yangu imekwama katika internet lakini nilipocheki kwenye ethernet controller inaonesha haifanyi kazi. nikijaribu ku update kwa kutafuta ethenet co nyingine kwa kupitia computer...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natumia TTCLBB, Modem Smartax MT880, winxp, win7 pcs on wired LAN. A couple of laptops connecting using CISCO Linksys WRT1220N. Nina matatizo mawili Im forced to rely on a single pc, since...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana jamiiforums; Nilijaribu u-download tv4africaplayer kwa ajili ya kuangalia ITV. lakini la ajabu ni kwamba nimeweza ona siku moja tu, baada ya hapo hakuna response niki-click link. Watalaam...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, samahani waheshimiwa kama hili nalotaka kuuliza lilishajadiliwa hapa. Naomba mnisaidie kama kuna madhara yoyote ya kuficha ip address, na kama hakuna ni software au njia gani...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Nimeamua kuuliza hili swali baada ya kuwa njia panda kwa muda mrefu. Wengine husema wakati mvua inanyesha hasa ya radi simu inatakiwa ifungwe maana ni hatari. Wengine husema haina tatizo. Naomba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heshima kwanza kwa wanaJF wote. Jamani nawezaje kupata proglam ya kuzuia baadhi ya watu ninaotaka kutonipigia simu. Aina ya simu yangu ni Nokia 5130 express music
0 Reactions
12 Replies
3K Views
wadau habarini? naomba msaada wa hapa nilipo nauziwa black berry cave 8520 but nahisi kama vile inamatatizo maana najaribu kuitafuta kwa bluetooth katika simu yangu ya nokia siipati but...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jamani nina zte modem ya sudan nataka kuitumia huku tz, kunaanaejua jinsi ya kuiunlock?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari zenu wadau mi na shida na muonekano mwanzo ilikuwa inadisplay englsh lang lakn sas hv inadisplay kirusi flan sasa sielewi. Je nifanyeje irudi kenye hal yake ya mwanzo. ... Plz msaada kwnye...
0 Reactions
3 Replies
878 Views
Wakuu wanajamvi naomba msaada wenu, nataka kujiweka fit na program ya SPSS, jaman mweye software and study guide(soft copy) anisadie Natanguliza shukurani
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini za Kazi wakuu, Jamani mie Natumia Modem ya Zantel yenye Kifurushi cha Z - MONO ambacho Natakiwa kuweka elf Kumi kila Mwezi, Na matumizi yangu makubwa ni Facebook, Hotmail, Badoo na...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wadau, natumia Decoder ya Easy Television,huwa nakilipia kila mwezi,chakushangaza kwenye hiki king`amuzi kina ch:32 lakini ninauwezo wa kutazama Ch: 18 tu na nyingine zinanidai Pin code ...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
NIMEBADILISHA OPERATING SYSTEM KWENYE LAPTOP YANGU AINA YA ( iNSPIRO 1525) DELL, DRIVER ZA SAUTI ZIMETOKA,PAMOJA NA VGA COMPATIBLE NAOMBENI MSAADA MWENYE NAZO ANITUMIE
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za shughuli wadau?ninaomba mnisaidie maelezo jinsi ya kudownload game ya Football Manager ya 2010 au 2011,ahsanteni!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mambo vp wakubwa nina loptop audio imepotea naomba msaada wakubwa.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom