Wazee laptop yangu haina setup yoyote ya internet, yaani nikiunga network cable haitoi ishara yoyote kama imekuwa connected. Na nikienda kwenye my network places nakuta network za moderm tu na mimi nataka nitumie cable ya ofisini. Jamani tafadhali nisaidieni na hili. Nasubiri mtaalamu yeyote anisaidie wandugu