Msaada: Psp cracked display

Msaada: Psp cracked display

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,257
Reaction score
22,138
wakuu habar yenu. Mwenzenu juzi juzi psp yang light ilianguka bahati mbaya nakuvunjika display yake. Nimehangaika sana kutafuta replacement bila mafanikio. Naomba msaada kwa anaeweza faham mahala naweza pata. Thankx r in advance!
 
Mh labda kwa kuanzia ungesema umezunguka wapi na wapi maana waweza elekezwa kumbe umeshapitia hiyo sehemu ukakosa
 
Mh labda kwa kuanzia ungesema umezunguka wapi na wapi maana waweza elekezwa kumbe umeshapitia hiyo sehemu ukakosa

mkuu nimeenda sapner posta,sony workshop mikocheni,m.city.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom