Fellow Members,
Three days ago I was being pestered with SMS from Voda saying that my number was choosen for the 3mil draw and that I had to text my name.Charge 550/=!
I decided to send the...
Kuna watu wanapita kwenye taasisi kutoa elimu kuhusu matumizi ya simu na madhara ya kansa. Jamani kuna mwenye ujuzi na hili, je kuna watu wanafahamu hi move? Jamaa wameacha na za sim Victo Lema...
Naombeni msaada wakuu. Nimeibiwa simu yangu aina ya SAMSUNG GT B3410. Nina risiti yake na warranty. Je, kuna uwezekano wa kui-track iwapo hewani? Thanks.
Ndugu wataalam,mimi natumia laptop dell latitude d600,laptop yangu hii usb port zake zote hazifanyi kazi,inashindwa kudetect usb device.Tatizo lilianza pale nimlipo connect motorola l6 kwenye port...
Hp Probook 4510s with windows 7
i have tried every way can think of & i can not find he webcam. YES it does have a webcam but i cant find a way to access it. Please help
nimenunu moderm ya tigo, napata 3G signals, lakini nashanga kwa nini uploading & downloading speed sio nzuri?
yani speed huwa inavary 80kbps-378kbps. Please help me, its urgence!
Tokea jana providers wanaotumia seacom hasa hasa internet ya Airtel wako chali, almost hamna kitu, leo wamenitumia meseji kuwa link imesharekebishwa, lakini so far bado hakuna kitu.
Mlio karibu...
Ni muda sasa naamini hapa Jukwaani ni kisima na msaada tosha kwa mambo mbalimbali. Wadau, nilinunua redio ya SONY model no. HCD-GNZ55D miaka 2 iliyopita. Redio hi imepata tatizo la power. Umeme...
wataalam wa photoshop.
Kuna image nataka nizichakachue ili header ya webpage nayotengeza iwe tofauti
Image yenyewe nayotaka kuchakachua ni hii hapa
Hii ni image ya header kwenye...
UKIONGEZA SALIO UTAWEZA KUPATA
Dakika za bure;message 100 na MB200
kuangalia dk bonyeza *102*05# ok;
kuangalia message bonyeza *102*15#;
kuangalia salio la data bonyeza *102*06# ok.
Offer...
Salama wakuu? Tatizo lang ni moja tu,nahitaji kuinstall softwares za windows kwenye linux. Nilishauriwa nitumie ki2 inaitwa crossover au wine lakn naona hazikubali.
Jamani naomba msaada kama kuna namna nyingine ya kui play you tube mara ninapoifungua huwa inaplay kidogo kisha inaonekana ikiendelea kuserch kuja ikaplay bila kusitasita ni hadi ifike mwisho sasa...
Ninatafuta graphic designer wa kujitegemea ambaye anaweza ku design signage, brochures(A4), posters (A2), Fliers (A5), na T-shirt. Nitumie ujumbe kuhusu gharama zako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.