Ofa ya pasaka kwa wateja wa airtel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ofa ya pasaka kwa wateja wa airtel

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by ccr airtel, Apr 19, 2011.

 1. c

  ccr airtel Member

  #1
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  UKIONGEZA SALIO UTAWEZA KUPATA
  Dakika za bure;message 100 na MB200
  kuangalia dk bonyeza *102*05# ok;
  kuangalia message bonyeza *102*15#;
  kuangalia salio la data bonyeza *102*06# ok.

  Offer hiyo inaanza kutumika saa sita usiku hadi kumi na mbili hasubuhi

  HAMIA AIRTEL
   
 2. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Mimi mkuu airtel naipenda. sana ila naichukia naninataka KUHAMA,kwa kuwa zawadi yangu ya reward programu haija nipatia.inawezekana wakati inakabidhiwa mikoba na ZAIN nami ka zawadi kangu alipewa ila huyooooo.akachikichia nako.eti sasa hivi wanajikosha au wanajitengeneza mazingira mazuri ya ki sheria ili kama atatokea mtu kulalamika basi wawe wanacha kusema.HIVI SASA WANATUMA MSG KUWATAARIFU WATEJA WALIYO WAHI KUSHINDA REWADI KUWA.eti komboa zawadi yako kabla ya tarehe 14 kwa kutuma msg 100sms kwenda 15033.kwanza hiyo kauri ya KOMBOA?! Imenikatisha tamaa.sasa ndo hiyoo zawadi unayo isema wewe hapo kwangu mimi kama haina maana. 1 huwa nalala mapema kabla ya huo muda. 2.maka hivi sasa nina 4000 ambazo nazo zitafia huko huko. Ila ubarikiwe mkuu kwa post,
   
 3. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kawambie wakubwa wako kwamba ofa kama hizo hazina maana. Nani atakaa macho usiku kucha kutumia huo muda? It doesn't make any sense kumpa mtu ofa na kumwambie aitumie wakati wa kupumzika.

  Kwa upande wangu ni bora hizo ofa msingezitoa!
   
 4. C

  Campana JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2011
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Siku nyingine makampuni ya simu yatambue kuwa si wateja wao wote ni watoto.

  Matangazo yao mengi ni ya kitoto toto.

  Mpango wa rewards points nao ulionesha mambo ya kitoto. Lo! Bila kujali mteja and rewards points ngapi, wote tulisukumiziwa toys. Mimi niliporudi home nayo, mtoto akalilia akijua ndiye mwenye right ya kuchezea toy na si mzazi. Ikabidi nimpe.
   
 5. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Mitandao ya simu hamna aibu kama mfugaji wenu CCM. Ndo nini kutufanya watumiaji wa simu kama watoto wadogo au mataahira? Ofa zenu za usiku wa manane zinadhihirisha unafiki wenu na kiasi mlichofikia ktk kutufanya kama machizi. Faida mnapata na bado mnataka damu zetu nadhani. Mmezidi danganya toto wote nyie, si airtel, tigo, zantel wala voda wote wanyonyaji mliopewa uhuru na sheria mbovu za nchi hii ambazo bwana wenu CCM hawezi kusimamia mabadiliko ya sheria hizo kamwe. Endeleeni kutunyonya hatuna mjomba wa kututetea.
   
 6. mwanapolo

  mwanapolo Senior Member

  #6
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tangazo hili inafaa mulipeleke kwenye shule za secondary na primary. Kweli AIRTEL mumechoka
   
 7. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #7
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  acheni wizi nyie watu,mie jana nimeweka 5000 na nikapata msg kuwa nimepewa sijui msg na muda wa maongezi na data bure.ila kila nikicheki naambiwa una msg 0,mb 0 na msg 0.
  maana yake nn?
  na huo muda c wa kulala?
  bora msingeweka kabisa
   
 8. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Assuming kuwa (hasubuhi = asubuhi) then hii offer ni kwa ajili ya:
  - Wauguzi na Madaktari ON-CALL
  - Walinzi (Security Guards)
  - Dada poa & Kaka poa
  - Broken Heart(ed)
  - Wagonjwa waliolazwa mahosipitalini
  - e.t.c
   
 9. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Of course.
  Kwa mtu kama mimi siwezi kuanza kumpigia simu mwenzangu saa 6 usiku ilhali huo ni muda wa kupumzika baada ya kujenga taifa mchana kutwa. Promosheni za namna hiyo mie naona ni ridiculous kabisa wala hazifai kupigiwa chapuo.
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ofa ya meseji eti kutuma usiku kuanzia saa 6 usiku mpaka 12 asubuhi huu uhuni.
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mnataka kuachanisha ndoa za watu jamani.
  Huu mda ni wa kulala na kiburudisho chako.
  Kwa nini wasiweke kuanzia asubuhi mpaka usiku?
  Hivi vioffa vya kihuni tu
   
 12. Invarbrass

  Invarbrass JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hao hawajatoa offer wanazuga tu kwenye vyombo vya habari ili wasikike kuwa wapo.Sera yao kubwa ni hamia huku. Wana kazi kwa matangazo ya offer hizo siami n'go!
   
 13. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Ikija kampuni itakayotoa ofa kama hizi mchana nyie makampuni wezi mtajibeba. Nitahamia bila kuuliza mara mbili na hakika mtanisahau
   
 14. c

  ccr airtel Member

  #14
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  dah kweli wananchi mna hasira...afu binadamu wa humu ndani kwann mmekaa kishari shari sana,kuna wengine hapa ingekua face to face ningeshakula makofi tena mengi tu...Hayo ni mawazo yenu ndugu wateja afadhali nyie mnaosema kuliko wanaohama kimya kimya...Mnasema kwa sababu mnaipenda Airtel...ofa nyingi zaid zinakuja mtachoka nyie tu!,Justwait the time is coming
   
 15. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  i like evr thing about airtel, except for the late night offers
   
 16. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  mkuu, inabidi urudi kwa waliokutuma kwamba watumiaji hawajaipenda hiyo offer..watu sio mabundi au popo wa kukesha usiku mzima..
  mjifunza sasa na hizi offer zenu..ni wakati wa kutarget prime time
   
 17. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,139
  Likes Received: 3,328
  Trophy Points: 280
  Salio la sh. Ngapi? Hata jelo.
   
 18. B H

  B H Senior Member

  #18
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwanini msilete mambo ya maana kwanza badala ya huo upuuzi.
   
 19. c

  ccr airtel Member

  #19
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hata jelo Mkuu
   
 20. c

  ccr airtel Member

  #20
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  dharau hizo mkuu
   
Loading...