MSAADA, NAOMBA MNISAIDIE NAMNA YA KUONGEZA SPEED YA MODERM YANGU. NATUMIA TIGO MODERM(Huawe E153) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSAADA, NAOMBA MNISAIDIE NAMNA YA KUONGEZA SPEED YA MODERM YANGU. NATUMIA TIGO MODERM(Huawe E153)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by SunStrong, Apr 21, 2011.

 1. S

  SunStrong Member

  #1
  Apr 21, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimenunu moderm ya tigo, napata 3G signals, lakini nashanga kwa nini uploading & downloading speed sio nzuri?
  yani speed huwa inavary 80kbps-378kbps. Please help me, its urgence!
   
 2. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Umejiunga na package ipi? maana mimi napata speed ya 2.8mbps na ninatumia modem kama ya kwako.... kuna package ukijiunganazo wanakulimiti kwenye speed.... Halafu mkuu acha kutujazia server kwa kurudia rudia thread yako.
   
 3. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,136
  Likes Received: 3,328
  Trophy Points: 280
  Mateso haya ya internet yataishaga lini afrika...ule mpango wa optic fibre umeishia wapi.
   
Loading...